Never give up, Haikainde Hichilema amegombea Urais mara 5 na kushindwa. Sasa ni mara ya 6

Never give up, Haikainde Hichilema amegombea Urais mara 5 na kushindwa. Sasa ni mara ya 6

Hilo haliwezi kutokea Tanzania!
kila siku siyo jumapili , hata sabaya alipotumwa na Magufuli kuiba , kupora na kubaka hakudhani kama Magufuli angekufa haraka namna ile

Aliyekuwa_Mkuu_wa_Wilaya_ya_Hai,_Lengai_Ole_Sabaya_leo_Ijumaa_Agosti_13,_2021_katika_Mahakama_...jpg
 
nitajie mmoja kutoka upinzania ukiondoa Prop Lipumba na Mzee Rungwe aliyegombea hata mara mbili...
 
Back
Top Bottom