TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Kuzuia bandari zake kuwa chini ya DP World wakati Bandari za Tanzania Bara/Tanganyika zikikabidhiwa kwa DP WORLD kwa makubaliano yenye vipegere vya kusikitisha kwa vizazi vya Sasa na vijavyo vya TanzaniaNguvu ipi acheni utapeli wa kisiasa.
Ni wazi sisiemu ni vibaraka wa ukoloni mamboleo kwa hiyo wanajikomba kwa mabwana zao mabeberu kwa kuuza nchi kwa vipande 30 vya fedha.Kuzuia bandari zake kuwa chini ya DP World wakati Bandari za Tanzania Bara/Tanganyika zikikabidhiwa kwa DP WORLD kwa makubaliano yenye vipegere vya kusikitisha kwa vizazi vya Sasa na vijavyo vya Tanzania
Hope to a better TanganyikaWhich hope