New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

Kuzuia bandari zake kuwa chini ya DP World wakati Bandari za Tanzania Bara/Tanganyika zikikabidhiwa kwa DP WORLD kwa makubaliano yenye vipegere vya kusikitisha kwa vizazi vya Sasa na vijavyo vya Tanzania
Ni wazi sisiemu ni vibaraka wa ukoloni mamboleo kwa hiyo wanajikomba kwa mabwana zao mabeberu kwa kuuza nchi kwa vipande 30 vya fedha.

Yaani huo ni Ujuda Iskarioti hakuna ubishi kabisa.
 
Nimemsikiliza AU akihutubia BRICS sijamwelewa maana ni malalamiko tu hana majibu!
 
Asante sana Baba Askofu.

Wanaapa kwa Biblia lakini hawaelewi kwanini hulishika neno la Mwenyezi Mungu wakati wanaapa.

Kanisa linapowakemea huwa linawakumbusha waliapa kumtii Mwenyezi Mungu.

Na utii kwa Mwenyezi Mungu ni kumjali mnyonge siyo matumbo yao.
 

Attachments

  • PSX_20230824_130324.jpg
    PSX_20230824_130324.jpg
    26.5 KB · Views: 2
Wakati sisi tunawakana watanzania wa diaspora, Afrika nayo inakaza buti kuwapa uraia hata wamarekani weusi. Tujipime tuna matatizo gani hata tujidhoofishe wenyewe
 

Attachments

  • af641cd3c65347c288fd986aa6791b61_3F4D0891E9CE57E4F78202FDD6D3DB80_video_dashinit.mp4
    7.6 MB
Mmesikia kuna kigogo wa CCM anajengewa hoteli ya 5 star Unguja na Dubai
 
Kama hii ni kweli inamaanisha utajiri wa watanganyika unahamishiwa Unguja
 
Tunasema Unguja siyo Zanzibar kwani Pemba hawahusiki na hii dhuluma dhidi ya watanganyika
 
Kama hii taarifa ina ukweli wowote basi makanusho ya sisiemu ya kuwa bandari hazijauzwa hayana makalio yoyote yale.

Bei ya mauzo ya bandari ni thamani ya hiyo hoteli.
 
Glory be to God!
 

Attachments

  • IMG-20230824-WA0020.jpg
    IMG-20230824-WA0020.jpg
    95.8 KB · Views: 3
Sala zenu zahitajika hapa ili aachiwe huru
 

Attachments

  • PSX_20230824_144045.jpg
    PSX_20230824_144045.jpg
    99.6 KB · Views: 3
Back
Top Bottom