New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

HATA MIMI NI MJINGA! Ripoti ya CAG

Bunge letu limeahirisha kujadili ripoti ya CAG hadi mwezi Novemba.

Awali Rais aliagiza Katibu Mkuu Kiongozi kuanza kushughulikia na kuwataka wahusika kujieleza.

Kwa ujinga wangu nilidhani:

1. Mkaguzi hukagua mahesabu katika sehemu husika.

2. Kisha huibua masuala (queries) yanayohitaji maelezo na vielelezo.

3. Wahusika hujibu masuala hayo na vielelezo hutolewa.

4. Mkaguzi akiridhika, hufuta masuala hayo. Asiporidhika, masuala hayo huorodheshwa katika ripoti.

Kwa hiyo kwa ujinga wangu, nilidhani:

A. Ripoti ya CAG inayopelekwa kwa rais na bungeni huwa imewasikiliza wahusika na kupitia vielelezo vyote.

B. Ripoti ilishafika kwa rais kinachohitajika ni utekelezaji wa alichosema CAG na si kijadili wala kuwahoji wahusika wa ubadhilifu.

C. Kazi ya bunge ni kuisoma na kuionya, kuishauri na kuielekeza serikali kwa ujumla katika muktadha wa utawala wa fedha za umma hapa nchini.

D. Bunge lilimpa rais fedha za kutumia. CAG amekagua na kuishtaki serikali ya rais kwa bunge. Bunge linamsimamia rais kabla halijampa fedha nyingine.

E. Si kazi ya bunge kujiingiza katika kufukuzana na panya na mchwa waliokula fedha hizo.

F. Ili rais na serikali waweze kupata fedha nyingine, inabidi awashughulikie mchwa na panya.

Mchwa na panya wakiachwa wanabadilika kuwa nyoka mwenye sumu kali mwaka unaofuata.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Ninaamini
1681470063411.jpg


Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
APRIL 15TH 2023

SATURDAY WITHIN THE OCTAVE OF EASTER

FIRST READING
“We cannot but speak of what we have seen and heard.”
ACTS 4: 13 - 21

In those days: When the rulers and elders and scribes saw the boldness of Peter and John, and perceived that they were uneducated, common men, they wondered; and they recognised that they had been with Jesus. But seeing the man that had been healed standing beside them, they had nothing to say in opposition. But when they had commanded them to go aside out of the council, they conferred with one another, saying, “What shall we do with these men? For that a notable sign has been performed through them is manifest to all the inhabitants of Jerusalem, and we cannot deny it. But in order that it may spread no further among the people, let us warn them to speak no more to any one in this name.” So they called them and charged them not to speak or teach at all in the name of Jesus. But Peter and John answered them, “Whether it is right in the sight of God to listen to you rather than to God, you must judge; for we cannot but speak of what we have seen and heard.” And when they had further threatened them, they let them go, finding no way to punish them, because of the people; for all men praised God for what had happened.

The Word of the Lord.


RESPONSORIAL PSALM
Psalm 118: 1 and 14 - 15ab, 15c - 18, 19 - 21 (R.) 21a

R/. I will thank you, Lord, for you have answered me.
Or:
Alleluia.

Give praise to the Lord, for he is good;
his mercy endures forever.
The Lord is my strength and my song;
he was my saviour.
There are shouts of joy and salvation
in the tents of the just. R/.

“The Lord’s right hand has done mighty deeds;
his right hand is exalted.
The Lord’s right hand has done mighty deeds.”
I shall not die, I shall live
and recount the deeds of the Lord.
The Lord punished me, punished me severely,
but did not hand me over to death. R/.

Open to me the gates of justice:
I will enter and thank the Lord.
This is the Lord’s own gate,
where the just enter.
I will thank you, for you have answered,
and you are my saviour. R/.


ALLELUIA
Psalm 118: 24

Alleluia.
This is the day the Lord has made; let us rejoice and be glad in it.
Alleluia.


GOSPEL
“Go into all the world and preach the Gospel.”
MARK 16: 9 - 15

When Jesus rose early on the first day of the week, he appeared first to Mary Magdalene, from whom he had cast out seven demons. She went and told those who had been with him, as they mourned and wept. But when they heard that he was alive and had been seen by her, they would not believe it. After this he appeared in another form to two of them, as they were walking into the country. And they went back and told the rest, but they did not believe them. Afterwards he appeared to the Eleven themselves as they sat at table; and he upbraided them for their unbelief and hardness of heart, because they had not believed those who saw him after he had risen. And he said to them, “Go into all the world and preach the gospel to the whole creation.”

The Gospel of the Lord.
 
Egypt accuses Ethiopia of 'buying time' to fill Nile dam.

Daily NationApr 14, 2023 7:10 AM

What you need to know:

Egypt says Ethiopia is deliberately delaying talks on the Nile dispute to "buy time" and thereby continue filling its giant dam being built on the river Nile.

"It is regrettable that Ethiopian officials continue to express their willingness and desire to resume negotiations under the auspices of the African Union (AU) in a new attempt to buy time and continue filling the dam without an agreement," Egypt's Deputy Foreign Minister for African Affairs Hamdy Loza said on Wednesday.

Cairo's latest accusation came hours after Addis Ababa announced that it will fill the Grand Ethiopian Renaissance Dam (GERD) without seeking anyone's permission.

"Ethiopia has no obligation to request permission from anyone to fill the dam," the spokesperson of the Ethiopian Ministry of Foreign Affairs, Meles Alem told journalists in a press briefing on Wednesday.

Ethiopia is preparing to fill the massive dam for the fourth time disregarding Egyptian repeated warnings.

"Ethiopia's remarks to proceed filling the dam regardless of the downstream countries' rights are another evidence of unilateralism that goes beyond the scope of negotiation," Mr Loza said.

The Egyptian official further condemned statements by Ethiopia that had accused Cairo of "politicising" the Nile dam dispute.

Loza said Addis Ababa's continued claim of Egyptian "politicisation" of the GERD issue is an attempt to "evade legal responsibility and reflects [Ethiopia's] indifference to the principles of the international law and good neighbourliness."

The fresh row between Ethiopia and Egypt has repeatedly received mixed reactions in Egyptian local media.

Prominent pro-state host Ahmed Moussa said Addis Ababa intentionally built the Grand Ethiopian Renaissance Dam to "harm" Egypt and Sudan.

Opposition TV host Muhammad Nasser blamed the Egyptian government and media for not taking a stronger stance against the issue.

Egypt fears that the multi-billion-dollar Ethiopian dam, which would be Africa's largest, would eventually diminish its historic water supply from the Nile, but Ethiopia is pushing for its own water security.

Addis Ababa, argues that the dam will not have a significant impact on the natural water flow into the downstream countries.

Last month, Addis Ababa announced that 90% of GERD's construction work had been completed.
 
MAANDAMANO NI KUPOTEZA MUDA!


Maandamano hayatazuia wezi kutuibia kwa mfumo huu uliopo wa kulindana. La muhimu kupunguza wimbi la wizi ni kuacha mara moja kukopa maana hela zitaliwa tu kwa sababu chini ya huu utawala wa Rais Samia wezi wanalindwa!

Teuzi za Rais zimekuwa ni zawadi na wazawadiwa huona wamepewa nafasi ya kuiba.

Na wakiiba wanaitwa "STUPID" na kubembelezwa wajiuzulu kama wanapenda kuachia keki nono.....wao humcheka kwa kugangamala kwenye nafasi zao.

Baada ya hapo, tunaambiwa kazi inaendelea. Ni vigumu kuwatimua uliowateua ili wakale kwani wakila wanakuwa wametimiza malengo shida iko wapi? Hatoki mtu ndani ya wigo hilo


Well, we deserve our leaders.


Tungelikuwa na hofu ya Mwenyezi Mungu hawa wawakilishi wote hakuna hata mmoja angelikuwa hapo alipo.

Lakini kwa vile sisi wenyewe ni dhambi kwenda mbele ndiyo maana Mwenyezi Mungu katupatia hawa vibogoyo ili Atucheke kama tulivyokuwa tunamkejeli na uovu wetu dhidi yake.


Mngelikuwa mnamwogopa Mungu angeliwabariki kwa kuwapa mimi niwaongoze na hii taarifa ya CAG wengi wangelifia kizuizini. Wengine kisulisuli tu cha kusikia ninafuatilia upuuzi wao wangelidondoka na kufa papo kwa hapo.

Ningehakikisha mwizi anarudisha kila sumni aliyoiba au atafia kizuizini.

Na kila nitakayemtia kabali ya chuma, nitamtangaza kwenye gazeti la serikali na kutaifisha kila kitu alichonacho na hata nyumba anayoishi, gari analolitembelea nitatangaza mnada. Akaunti zake zote nitazitaifisha.Nyumba anayoishi nitatuma tingatinga litabomoa na kiwanja au shamba litauzwa. Na kama ana nyumba kijijini kwao nitaibomoa. Gharama za udokozi zitakuwa za kutisha ili kabla ya kuiba wezi wajiulize maswali kama inalipa. Na kwenye hili hakuna cha undugunaizesheni.

Katiba itampa mamlaka Rais ya kuwashughulikia wezi na wabadhirifu kwa mtindo huu. Mwizi wa mabilioni ukimpa hakimu anaona swala zima ni ganda la muwa la jana chungu kaona ni kivuno. Atahongwa na ataamua hakuna ushahidi wa kumuunganisha mtuhumiwa na wizi na ubadhirifu husika. Au atamtia hatiani na kumpa mbadala wa kulipa kiduchu kama fidia ya mabilioni aliyoyakwapua au la kifungo cha muda mfupi. Ujumbe kutoka mahakamani ni kuwa ibeni sanaaaaaaa ila msitusahau kututupia makombo nasi tulambe! Mahakimu na majaji uteuzi wao na utendaji wao raia hawahusishwi na hivyo Mahakama zimekuwa ni kichocheo kikubwa cha maovu kwenye jamii. Hakimu au Jaji akitoa maamuzi batili hupandishwa cheo lakini akikemea maovu huadhibiwa kwa kupitwa na mazoezi ya kupandishwa vyeo. Kwa hiyo, mfumo mzima wa kimahakama hauwezi kututendea haki kwa sababu wananchi hawahusishwi kwenye ajira zao na upandishwaji wao wa vyeo. Utakuta jamii inamjua vizuri hakimu ni mwizi anahongwa lakini kesho Rais anamteua kuwa Jaji wa Mahakama kuu huku jamii ikijiuliza hata huyu hawamjui kweli?

"Plea bargain" itarandana na hatua hizi. Mtuhumiwa hatatoka lupango hadi aachie kila kitu na kukubali anadaiwa na kama kuna aliyemhonga basi akubali kuwa shahidi ili wote wakamuliwe vilivyo. Wakitoka hapo nitahakikisha hawatapumua tena. Watakuwa ni DEMO.....

Haki za binadamu kwa wezi kibindoni kwani walipokuwa wakiiba walilinda haki za binadamu za wenzio?


Nashindwa kabisa kuelewa ni kwa misingi ipi Mwigulu Nchemba naye eti ni Waziri tena wa fedha!. Mbavu zangu zauma kwa huu utaniutani wa mambo mazito ya kitaifa.

Something is fundamentally wrong with this Samia administration for sure.

Yaani kwenye vikao vya baraza la mawaziri, huyu Mwigulu Nchemba ndiye kashika mikoba ya fedha kweli?


Hivi tuna matatizo gani?


Waziri wa fedha analetewa ankara ya malipo kinyume na mkataba badala ya kuitolea maamuzi anaipeleka Ikulu ili iwe nini?

Kama Mnikulu angeliipitisha malipo yangefanyika!

Waziri wa Ujenzi aliipitisha ndiyo maana ilifika Hazina na baadaye Ikulu.

Huu uwajibikaji wa kisiasa tangia lini umeota mbawa?

Mwinyi, Lowassa na wengineo wengi walijiuzulu kwa makosa ya wadogo zao sasa hawa na makatibu wakuu wao kigugumizi cha kuwatimua kinatoka wapi?

Kila sekunde, Mwigulu, Mbarawa na wasaidizi wao wanaendelea na majukumu yao kwa huu udhaifu mkubwa waliouonyesha katika kusimamia masilahi ya Taifa Rais Samia anatuma ujumben kwa watendaji wote serikalini endeleeni kuiba hakuna atakayewajibika.

Kwa kutochukua hatua za kukemea maovu ya viongozi sasa tatizo la uwajibikaji serikali limehamia kwa Rais.

Wizi na ubadhirifu ulioshamiri serikalini sasa itabidi tukiri kwenye sakafu za mioyo yetu tatizo tuna Rais legelege na kashindwa kuwakemea aliowaamini na kuwateua.

Hatuna mbadala kwenye hili.

Hivi kama Moringe Sokoine angelikuwa Rais leo hili baraza la mawaziri angekuwa hajalisambaratisha kweli?

With a heavy heart, we must sadly concede we have a very weak president incapable of instilling discipline in the public sector..


It hurts very much but this is now our collective failure, not her alone!


IMG-20230416-WA0015.jpg
 
MONDAY, APRIL 17TH 2023

SECOND WEEK OF EASTER YEAR A

FIRST READING
“When they had prayed, they were all filled with the Holy Spirit and spoke the word of God with boldness."
ACTS 4: 23 - 31

In those days: when Peter and John were released they went to their friends and reported what the chief priests and the elders had said to them. And when they heard it, they lifted their voices together to God and said, “Sovereign Lord, who made the heaven and the earth and the sea and everything in them, who by the mouth of our father David, your servant, said by the Holy Spirit, ‘why did the Gentiles rage, and the peoples imagine vain things? The kings of the earth set themselves in array, and the rulers were gathered together, against the Lord and against his Anointed’ –for truly in this city there were gathered together against your holy servant Jesus, whom you anointed, both Herod and Pontius Pilate with the Gentiles and the peoples of Israel, to do whatever your hand and your plan had predestined to take place. And now, Lord, look upon their threats, and grant to your servants to speak your word with all boldness, while you stretch out your hand to heal, and signs and wonders are performed through the name of your Holy servant Jesus.” And when they had prayed, the place in which they were gathered together was shaken; and they were all filled with the Holy Spirit and spoke the word of God with boldness.

The Word of the Lord.


RESPONSORIAL PSALM
Psalm 2: 1 - 3, 4 - 6, 7 - 9 (R.) 12d

R/. Blessed are all who trust in you, O Lord.
Or:
Alleluia

Why do the nations conspire, and the peoples plot in vain?
They arise, the kings of the earth;
Princes plot against the Lord and his Anointed.
“Let us burst asunder their fetters.
Let us cast off from us their chains.” R/.

He who sits in the heavens laughs;
The Lord derides and mocks them.
Then he will speak in his anger,
His rage will strike them with terror.
“It is I who have appointed my king
On Sion, my holy mountain.” R/.

I will announce the decree of the Lord:
The Lord said to me, “you are my Son.
It is I who have begotten you this day.
Ask of me and I will give you
the nations as your inheritance,
and the ends of the earth as your possession.
With a rod of iron you will rule them;
like a potter’s jar you will shatter them.” R/.


ALLELUIA
Colossians 3: 1

Alleluia.
If then you have been raised with Christ, seek the things that are above, where Christ is seated at the right hand of God.
Alleluia.


GOSPEL
“Unless one is born of water and the Spirit, he cannot enter the kingdom of God.”
JOHN 3: 1 - 8

There was a man of the Pharisees, named Nicodemus, a ruler of the Jews. This man came to Jesus by night and said to him, “Rabbi, we know that you are a teacher come from God; for no one can do these signs that you do, unless God is with him.” Jesus answered him, “Truly, truly I say to you, unless one is born anew, he cannot see the kingdom of God.” Nicodemus said to him, “How can a man be born when he is old? Can he enter a second time into his mother’s womb and be born?” Jesus answered, “Truly, truly, I say to you, unless one is born of water and the Spirit, he cannot enter the kingdom of God. That which is born of the flesh is flesh, and that which is born of the Spirit is spirit. Do not marvel that I said to you, ‘You must be born anew.’ The wind blows where it wills, and you hear the sound of it, but you do not know where it comes from or where it goes; so it is with every one who is born of the Spirit.”

The Gospel of the Lord.
 
Lies!

GDP calculations have been distorted. Nobody can explain this GDP jump within the last two years beyond changes in GDP evaluation methodologies.

Who are these investors who have pumped $16 bill in two years, and when should we expect an uptick in tax collection from them?

What we see is the taxman kneeling on the tender neck of hoi polloi because he has no other avenues to squeeze more taxes.

OUR TAKE:

WB senior staff particularly in Africa are extremely corrupt and can be bought to convey outright lies for the purpose and intents of interfering with domestic politics in favour of the incumbents. And, the eyebrows tic when an individual - the president-is claimed to be behind it...teh teh teh. That is when we suspect it is a lie.

We are always shocked to see it is becoming a common denominator for the WB to link GDP expansion with the president in power.


Our concern why WB having any business in mounting errors of attribution?

We know GDP estimation in Sub Saharan Africa is fake because methodologies applied to incorporate informal sector contributions to the GDP are littered with controversy which we will not meddle upon at least for this discourse


IMG-20230417-WA0014.jpg
 
[emoji115]uyo dada pichani anaitwa VANESA nilikua naishi nae mkundi mtaa mmoja amefariki toka Jtatu mwili upo mochwari morogoro hospital atujui NDUGU ZAKE wakati anaumwa alihojiwa akasema hana wazazi ila ANATOKEA ARUSHA KIMANDORO
ameacha watoto wawili mmoja miaka7 mwingine mchanga wa miezi3 TUNAOMBA MTUSAIDIE KUSAMBAZA KWENYE MAGROUP TUPATE NDUGU ZAKE mawasiliano
0652682894
IMG-20230417-WA0030.jpg
 
Back
Top Bottom