New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

Mtu anauza hadi hewa anayoivuta halafu wabunge hawaongei kitu ila siwao ndio na ndugu zao wanamagari yakuleta Nchini na mizigo Yao waacheni waone kila kitu nisawa
Wabunge wamelamba asali siyo bure na kila kitu wako hapo kupitisha na watapitisha kama ulivyo
Watasema ni mkataba wa miaka 20 lakini wakijua pande mbili husika hauna ukomo

Loliondo kamwe hawatatoka tena wako kwenye mikakati ya kuwakabidhi mbuga za wanyamapori maana hoja ni sisi ni watu wa hovyo. Hatuwezi lolote ila askari wa kukodiwa ndiyo wanaweza yaani nchi wakabidhiwe mamluki na sisi tubaki salama

Si umemsikia Msukuma?
 
HUU MKATABA WA WAARABU TUMENUNUA MGOGORO NA TUTAWALIPA MPAKA TUSHIKE ADABU.

HIZI NI ORODHA YA KESI ZA KAMPUNI YA DP WORLD KUTOKANA NA MIGOGORO YA BANDARI

Here is a list of the latest 20 cases versus DP World in international arbitration court:

1. DP World v. Kenya (2022). The International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) is currently hearing a case brought by DP World against Kenya. DP World is seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Kenya.
2. DP World v. Ethiopia (2022). The ICSID is also currently hearing a case brought by DP World against Ethiopia. DP World is seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Ethiopia.
3. DP World v. Djibouti (2021). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Djibouti. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Djibouti.
4. DP World v. Pakistan (2020). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Pakistan. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Pakistan.
5. DP World v. India (2019). The ICSID dismissed a case brought by DP World against India. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by India.
6. DP World v. Argentina (2018). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Argentina. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Argentina.
7. DP World v. Chile (2017). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Chile. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Chile.
8. DP World v. Uruguay (2016). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Uruguay. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Uruguay.
9. DP World v. Peru (2015). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Peru. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Peru.
10. DP World v. Brazil (2014). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Brazil. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Brazil.

It is important to note that these are just a few of the many cases that DP World has been involved in. DP World is a major player in the global port industry, and it has been involved in a number of disputes with governments around the world. These disputes have often been complex and have involved significant financial stakes.

The cases listed above are still ongoing, and it is not yet clear how they will be resolved. However, they provide a glimpse into the challenges that DP World faces as it operates in a number of different countries.
 
Yaani nimechoka na hivi vitu hadi unaweza kufa Kwa ajili ya hivi vitu sana tu
 
TUMEBAKWA WAJAMANI MCHANA KWEUPE

Mkataba walikwiisha kusaini mwanasheria wa uwekezaji asemaje tukijitoa imekula kwetu.

Tutashtakiwa.na kulipa mabilioni na hata tukiwakubalia siyo lazima wafanye lolote lile.

Kwa hiyo, tumepigwa au tumejipiga

MAJIBU YA KWANINI TUNAKOMALIA UKANDA, UDINI NA UARABU WAO?

Tatizo Mbarawa anasimamia wizara ya miundombinu ambayo siyo swala la Muungano na mambo yanapoharibika inabidi tujiulize kwanini wazenj wanatupora ajira ili wao wajipatie kipato haramu? Tunajua baadhi wamemegewa hisa ya hiyo kampuni siyo bwerere hadi kukubali kujidhalilisha kiasi hiki.

Mlikwisha kukaa chini na kukokotoa ajira za moja kwa moja raia wetu watapoteza baada ya hawa waarabu kuichukua hiyo bandari? Au ni ulafi wenu umewapofua?

Hizi ajira ni kuukana utu wa watu wetu na haki yao ya kujipatia kipato.

Pili, waarabu tuna historia nao. Wao ndiyo walitusomba na kutuuza utumwani kwa hiyo hatuwezi tukaliangalia hili swala kijuujuu tu.

Tatu, bado kuachwa kwenye huu mkataba bandari za Zanzibar ni hoja kwa sababu Mwinyi Sr. alipokuwa Rais aliwauzia waarabu Loliondo mpaka leo hawatoki na wakaazi wa hayo maeneo wameporwa malisho na vyanzo vya maji.

Wakaazi tajwa wamefukarika na hizi sera za wazanzibara kuwawezesha waarabu. Mbona wanapoukwaa urais hatuoni wanawafanyia wazanzibara wenzao hizi dhuluma. Lakini Mwinyi Sr na Kinana tunajua walivuna na wanaendelea kuvuna kwa kuwafukarisha watu wetu.

Hizi ni shukrani za punda ni mateke. Kumalizana na hawa vibaraka wa waarabu inabidi usimamizi wa serikali ya Muungano tuuhamishie kwa Waziri Mkuu ambaye hatateuliwa na Rais bali atajaza fomu na kuomba uwaziri mkuu kama wale wanaogombea ubunge EAC. Ashinde zaidi ya 50% aunde serikali na kutowateua wasiyo wabara kwenye shughuli zote zisizokuwa za Muungano

Historia pia imetufunza watu wetu wakienda uarabuni haki zao za ubinadamu hukiukwa na hata kuvunwa viungo vyao na kutumika kama viraka (spare parts) vya hao waarabu

Hatuwezi kufumbia macho hulka ya waarabu kukiuka viwango vya ajira (Labour standards) na kujipendelea.

Kwanini watupore ajira zetu na huku tuna bandari nyingi ambazo zinahitaji wawekezaji.

Kama mnawapenda sanaaaaaaa wapeni Bwagamoyo, Lindi, Ujiji, Nyasa, Mwanza, Bukoba, Ukerewe,

Why Dar ambayo ni strategic port?

Ukimkamata mwizi leo kweli utamruhusu ajitetee mbona yule mwizi wa jana hujamkamata? Sisi tunashughulika na wewe na hao wengine iko siku yao itafika tu. Hivyo, hoja za ubinafsishaji wa Geita, n.k hazina mashiko. Waliofanya hivyo ni wabara lakini walitudhulumu sasa tukae kimya tunapoona dhuluma zinaendelea kwa utetezi tulidhulumiwa awali au kaeni kimya dawa ituingie maana mbona wabara wenzenu waliwabinya na mlipiga ganzi?

Hatutakaa kimya tukiona maovu yakikithiri. Swala la kugawa raia kwa ukanda latoka wapi? Utudhulumu halafu ujifiche kwenye kichaka cha kuwagawa raia? Anayetugawa si ni wewe ma uchu wako wa mali? Mali zenyewe wala hazikupeleki mbinguni utaziaacha hapahapa tu.

Mkapa alitubinafsisha akajiona yeye ni chuma cha pua lakini sisi tulimtumainia Mwenyezi Mungu na siku yake ilipofika tulimpakia kwenye sanduku lake na tukawakabidhi funza wamalizane naye.

Sijui kwanini mwanadamu unamkubalia shetani akuhadae eti atakutajiriaha kwa kukukosanisha na Muumba? Utabaki salama kweli?

Mbaya kuliko yote hawataiendeleza bandari bali wataikamua na makapi kuturushia.

IMG-20230609-WA0008.jpg
 
Tunapinga ubinafsishaji wa aina zote kwa sababu tuliambia UN tulikuwa tayari kujitawala. Ubinafsishaji ni kukiri kumbe hatukuwa tayari kujitawala.

Migodi yote STAMICO wachimbe. Wakila ni watoto wetu wamekula tukiwakamata tutawafinya, watatubu, tutawaondoa na kuwafilisi na kuwaweka wengine mbona wako wengi mno? Shida iko wapi?

Tunajua kitalu "C" cha Mererani (TANZANITE) tayari mwekezaji kapatikana lakini tunajua no vigogo ndani ya CCM ambao wanamiliki hisa nyingi kwa hiyo wao ndiyo wawekezaji kwa mgongo wa askari wa kukodiwa.

Tunasema kitalu "C" cha Mererani wapewe STAMICO wakachimbe na madini yote BOT wayanunue na kuyauzia makampuni yaliyosajiliwa nchini yanayoongeza thamani ya madini hayo na kufungua fursa za ajira endelevu.

Ubinafsishaji ni janja ya nyani ya kujimilikisha njia kuu za uchumi kwa mgongo wa wawekezaji kutoka nje.

Ukitafakari sanaaaaaaa inabidi tukiri Nyerere na Sokoine walikuwa malaika na wako mbinguni.

.
 
MSIANDAMANE KWENYE HILI WAACHENI MWENYEZI MUNGU AWAONYESHE CHA MOTO!

Wezi wa kura wamepitisha nchi kuuzwa sasa hili siyo hawa ni wazanzibara ila ni hawa wezi wa kura.

Hebu tuwaume sikio

Msiandamane kwenye hili waacheni Mwenyezi Mungu awaonyeshe cha moto.

Ndani ya miaka 3 kuanzia leo baada ya kupitisha azimio hili watarudi wao wenyewe kwenye hili hili bunge na kuuvunja huu mkataba baada ya kuona hakuna mabadiliko yoyote yale na hata kile kidogo tulichokuwa tunapata kimepungua.

Huu ni mpango wa Mwenyezi Mungu kuwaumbua wezi wa kura.

Fidia ya mabilioni ya dola tutakayowalipa ndiyo kemeo linawaandama hivi sasa.

2eea94c4958e4a1bb28a185a0907da03_352429145_642944651033625_6864575181374167451_n.jpg
 
Back
Top Bottom