millerson
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 606
- 1,651
hata mwanzo ulivyopost huu uzi niliushangaaSina uhakika na hilo
Kuvunjika koleo siyo mwisho wa uhunzi
illa kiufupi huku mtaan huyo raisi wenu hawamkubali hata kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata mwanzo ulivyopost huu uzi niliushangaaSina uhakika na hilo
Kuvunjika koleo siyo mwisho wa uhunzi
Shetani ndiye Mungu wa hao ajuza sisi tunayo mamlaka ya kumtawala shetani na vijakazi wake.Free mason is real na hao ndio wanaongoza Nchi na wanapanga mipango ya Nchi nani awe raisi nani auwawe.
Hili tunalijua fikahata mwanzo ulivyopost huu uzi niliushangaa
illa kiufupi huku mtaan huyo raisi wenu hawamkubali hata kidogo
MAONI YETU
Mahakama ya Afrika iko sahihi
Mahakama Kuu iko sahihi
Mahakama ya Rufani ziiiiiiii ni tawi la CCM.
Tatizo ni ya kuwa katiba ilivunjwa kwa sababu moja tu sheria za uchaguzi zilikasimu mamlaka ya usimamizi wa chaguzi zetu kwa wakurugenzi wa halmashauri/ majiji kinyume na matakwa ya katiba yanayosema Tume ya uchaguzi ndicho chombo pekee chenye mamlaka ya kusimamia chaguzi zetu
Hoja za mahakama ya rufaa ya kuwa kwa vile DEDs wanaapishwa basi hawapendelei na hakuna ushahidi wanapendelea hazina uhusiano wowote na ukweli kuwa watajwa hao hawajapewa mamlaka ya kikatiba kusimamia chaguzi zetu. Tunashindwa kuelewa hoja za kuwepo upendeleo au kutokuwepo upendeleo zinahusika vipi na katiba kutowatambua wakurugenzi tajwa kusimamia chaguzi zetu?
Hakuna ibara yoyote ya katiba ambayo inairuhusu tume ya uchaguzi kukasimu mamlaka yake ya kikatiba ya kusimamia uchaguzi na hivyo kufanya vifungu vya sheria vinavyoishurutisha Tume kubwaga manyanga kuwa zimekiuka katiba.
Tunachoshindwa kuelewa ni kigugumizi kipi mahakama ya rufaa hupatwa katika kutenda haki.
Ni hizi peremende za vyeo baada ya kustaafu ndiyo mlungula wenyewe au kuna mengine.
Kama ni peremende tajwa basi kuna uhaja wa kuwazuia watumishi wa mahakama kuhongwa na watendaji serikalini kwa maisha yao yote pengine itapunguza makali ya kutoa maamuzi ambayo hayana kichwa wala miguu kama huu.
Teh teh teh very true bro tunakokotwa utumwani na viongozi wetu ambao hata hatukuwachagua!