Watu wanakatishana tamaa, kuna kipindi kilikuwa ETV walikuwa wanaonyesha wafumbuzi huko mkoani watu wanafanya mambo lakini hakuna taasisi hata moja ya serikali inawekeza, niliona mzee katengeneza trekta zuri yani katumia engine ya pikipiki linalima, linapukuchua mahindi linazalishha umeme akawa anaomba serikali imsaidie waungane na veta na wataalam wengine wayazalishhe mengi akasema coast haifiki hata milion nane.Watu weusi wana roho mbaya sana, kupata maendeleo ya kweli kunahitajika kwanza kubadili mfumo wa fikra zetu la sivyo tutaendelea kusubiri wazungu tu watuletee wanavyotengeneza.
Huo uvumbuzi wake lazima ale ela ya maana na anaweza kuuza hata india ambako hizi mita zetu zinatoka waiimpliment. Kama wa meter ya gas miezi miwili iliyopita kauza ugunduzi wake uingereza kala bils 50 za kibongo na bado ana asilimia kadhaa kwenye uvumbuzi wake why not huyu. Na kumbuka ni mbogo aliona hapa wanazingua akaipeleka Uingereza.Sijaona popote kwenye maada panapoonyesha ubilionea. Dogo tatizo kazaliwa bongo hapo wanaweza kumpa milioni 2 tu awape hio teknolojia.
Yule mwengine alikuwa mzoefu sana na alikuwa yupo TRA, ila dogo ajipange na team ya umenijimenti lasivyo atajuta.Huo uvumbuzi wake lazima ale ela ya maana na anaweza kuuza hata india ambako hizi mita zetu zinatoka waiimpliment. Kama wa meter ya gas miezi miwili iliyopita kauza ugunduzi wake uingereza kala bils 50 za kibongo na bado ana asilimia kadhaa kwenye uvumbuzi wake why not huyu. Na kumbuka ni mbogo aliona hapa wanazingua akaipeleka Uingereza
Jamaa naona ndo ilibidi ashikilie usikani, yawezekana aliegundua ni mtu mwengine kabisa na hizo bilioni 50 iligawanywa kwa watu wanne.Kumbe alikuwa TRA dah watu wanakula maela
Kuna watu huwaga wanatutukana sana humu mainjinia lakini na kwambia siku nenda UDSM,UDOM,DIT ktk final year project presentation ndio utagundua watu wanafanya vitu vingi vizuri sana ,ila ndio vile hapromotiwi wala kuendelezwa.Duh hii nchi hii... Niliwahi kwenda BUN lab aisee kuna vipaji vya kutosha
Aisee ni kweli sana watu bila support wanafanya vitu eke yao. Wakati uko wenzetu unakuta tu application watu wasainject millions of dollars kama pivotKuna watu huwaga wanatutukana sana humu mainjinia lakini na kwambia siku nenda UDSM,UDOM,DIT ktk final year project presentation ndio utagundua watu wanafanya vitu vingi vizuri sana ,ila ndio vile hapromotiwi wala kuendelezwa.
Hata hizo project wanazifanya kwa kutumia hela zao za mifukoni mwao hawana support na ndio maana mimi humu JF nikimwona mtu anatuponda huwaga najua ni kilaza asiyejua madogo wengi wabunifu wanapitia vikwazo vingi sana mpaka wengine wanakata tamaa japokuwa uwezo wanao.
Ila si shangai Tanesco kutompa ushirikiano dogo,si unajua nchi yetu tushazoea 10% hizi alafu wanaona kama ikifanywa na wa TZ hawatopiga hela ndefu.
Hivi vitu bila support kuna point utafika utakwama tu.Aisee ni kweli sana watu bila support wanafanya vitu eke yao. Wakati uko wenzetu unakuta tu application watu wasainject millions of dollars kama pivot