New Bilionea in town aliyebuni mfumo wa kununua umeme unaoingia moja kwa moja

Dogo, kwa hiyo uwezo wako wote wa kufikiri umeishia hapa? Bora mwenzako ameleta hoja, wewe je?
Kaleta hoja au kaleta chuki? Umeambiwa dogo kaenda veta pia hapo clouds kafanya majaribio sasa mnataka nini zaidi? Wabongo tunapenda kuonekana tunajua kila kitu tukiwa kwenye keyboard
 
Utakusanya luku zote nchini uzimodify? Kisa dogo
Umeongea point sana, tatizo la waafrika tunachukulia mambo kirahisi sana, lakin kiuhalisia wazo la dogo liko complicated sana, tunapenda sana kuamini stori za vijiweni na za kwenye kahawa

Mpaka sahiv Tanesco inaendeshwa kihasara alafu uwaongezee gharama nyingine za kubadilisha luku hawatakua tayari, Tanesco wako bize kutafuta vyanzo vya umeme na kupunguza gharama za uendeshaji
 
Hii idea inawezekana kwa njia hizi
1.Tanesco watoe api (Kama wanayo inafanyika kirahisi)
2.Ujue teknolojia inayotumika na hizi mita(hapa lazima upate fundi umeme/electrician ambaye anafahamu a-z jinsi mita inavyofanya kazi).Kisha ufanye reverse engineering uunganishe na web/app yako.

Kama Kuna mtu anafahamu a-z jinsi mita inavyofanya kazi,drop message inbox hope tutaifanya hii project.

Or mwenye info au contact za huyo dogo, drop pm please!
 
Sure Mkuu, mimi mwenyewe niliwaza kufanya hiyo kama project ya bachelor degree. Nikaenda kupresent title nikaambiwa project ndogo sana hiyo niachie watoto wa diploma. Na ni kweli hapo kimsingi ni issue ya GSM module na kulink na system ya luku ya tanesco.

Ni kweli kuwa mita za hvyo zipo nchi mbali mbali na zinatumika vizuri tu sio wazo jipya huyo dogo wa veta kapata tu airtime ila hakuna muujiza wowote hapo, itakuwa ni vzuri siku za mbeleni Tanesco nao watuletee mita za hivyo zitarahisisha sana kwetu watumiaji.
 
Pamoja na yote dogo kaonesha uthubutu, na ni jambo muhimu sana amewaacha nyuma wanaosema nao walikuwa na wazo kama hilo
 
Kaleta hoja au kaleta chuki? Umeambiwa dogo kaenda veta pia hapo clouds kafanya majaribio sasa mnataka nini zaidi? Wabongo tunapenda kuonekana tunajua kila kitu tukiwa kwenye keyboard
Acha Upuuzi wewe
Huo Mfumo Tanesco wanaujua na hakuna Jipya.
Pia kwa Meter za Majumbani (Domestic) sio smart ones,ili huo Mfumo uweze kufanya kazi lazima uwe na Smart meter ,na pia lazima u link Billing System ya Tanesco na hizo meter iweze kuzitambua.
CCM ime invest sana kwenye watu wajinga na wapuuzi kama nyie
 
Yaya Ture aliwahi kusema sifa ya mtu mweusi ni kukuangusha pale ulipotarajia akuinue.
 
Toa mfano wa upotoshaji unaodhuru mkuu
Hate speech,kutukana,lugha la shambulio la aibu,etc...

Kudanganya kwa minajili ya ku-influence watu wafanye vitendo vya hatari,mfano "sumu inatibu ukimwi,wagonjwa wa ukimwi kanyweni sumu mtapona"..wakienda kunywa watakufa,hilo ni kosa...
 
Apewe ushauri apeleke kwa mabeberu akauze.
 
Hate speech,kutukana,lugha la shambulio la aibu,etc...

Kudanganya kwa minajili ya ku-influence watu wafanye vitendo vya hatari,mfano "sumu inatibu ukimwi,wagonjwa wa ukimwi kanyweni sumu mtapona"..wakienda kunywa watakufa,hilo ni kosa...
Hivi unakumbuka hicho kipindi cha xxl kilifungiwa kwa kosa gani?
 
Bint mbona povu hivi, ila sishangai wadada kwa wivu mnaongoza
 
Tatizo ni roho mbaya, yaani hapo wanaona atapata pesa nyingi, halafu ukute anayeziba yeye mwenyewe hawezi kuwazua technology yeyote ile
 
Hivi unakumbuka hicho kipindi cha xxl kilifungiwa kwa kosa gani?
Nani alikwambia wanadamu wote tunasikiliza XXL?

Nani alikwambia kila mtu anasikiliza CloudsFM?

Nani alikwambia wanadamu wote tunajua what the fvck is even XXL to begin with?

XXL na Clouds FM unaijua wewe na wote mnaoifahamu,sio wanadamu wote,na mimi ni mmoja wa watu wasioijua!
 

Watu wanashindwa kujua ulaya watu wanalipa umeme kwa visa card, smartcard,paypal directly tangu miaka mingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…