New Broadcaster To Challenge Dstv and Kwese: Meet AzamTV

Mimi nina washauli muziondoe hizo channels. Kuhusu Tv stations tofauti na aliyo sema mna sita hamna aliyekuja na namba tofauti, Mfano hapo colloh mwizi ameweka machannel mpaka ya India, Nigeria, Tz e.t.c halafu anasakizia ziko Kenya. Wewe mpinge alie sema sita kwa kutaja namba tofauti na ulete evidence
 
haha huwa mnajidai mko mbele later mnagundua mko nyuma....haha
online zitafika 1000.
Hapo Kenya hakuna Kingamuzi kilichotapakaa kama Azam TV pili TV stations nichache nikiweka na Zanzibar jumla TZ ina TV stations 47
 
Kwa TV Stations hakuna inayo ifikia azam TV kwa investments
 

Freedom of expression, media freedom...

Huo ushauri wako katu hatutayatilia maanani. As long as hazienezi mambo ya chuki, shida iko wapi? Nimekuelezea bayana kwamba chemichemi ya chuki za kikabila Kenya haitokani na matangazo kwenye vyombo vya habari, manake yalikuwemo hata miaka ile vyombo vya habari vilikuwa vimedhibitiwa na serikali.....miaka ya 70 na 80 ilikuwa hatari.

Kwa kweli hapo Collo Mzii kidogo ameteleza kutaja hata zile tv steshens ambazo si za Kenya, lakini bado ameangazia ukweli jinsi ilivyo. Kenya ina TV stations zaidi ya 50!
Nilisahau kabisaa kutaja pia huduma za

Zuku tv. Wao pia wanamiliki stesheni zaidi ya 10 and it is the only company offering the service via fiber (in addition to satellite) in the region, and one of the few in the continent.

Zuku Packages, Channels and Zuku Customer Care Contacts
 
haha huwa mnajidai mko mbele later mnagundua mko nyuma....haha
online zitafika 1000.
Sikia nikwambie kwenye TV stations mko nyuma sana tena sana. Hakuna TV station East Africa yakufikia azam interms of having high tech epuipments.
Zunguka TV stations zote East Africa no one owns this type of cameras but azam only. Kwanza mnajua bei yake??
 
Hakuna TV station East Africa yenye kumiliki idadi kubwa ya magari mengi yenye kulusha matangazo live kama azam. Nabado anazidi kuingiza ayo magari. Azam is beyond any TV station in East and Central Africa. Yeye anashindana na DSTV. Fikeni Uganda na Rwanda muone watu wanavyo tumia azam. Azam ni level nyingine
 
get the difference btn TV stations n channels. Uache ujinga I see Bamba TV up there!
 
 
Ukinionyesha TV station inayo miliki aina hizi za camera hapo Kenya please ni tag nahu mjadala nitasema mmeshinda. Sito kuja tena JF
 
Kwa hiyo solution ya kuondoa ukabila ni siasa tu! mimi nakataa niliwahi kuishi na wakenya njee ya Kenya walikua wana juana kwa makabila kuliko wa Tz na ushirikiano wao ulijigawa kikanda zaidi. Mtajua mtakavyo tatua hiyo shida yenu ila kama mkija Tz kuomba ushauri sisi tuliwezaje mnaweza mkapata pa kuanzia.

Hivi hiyo Zuku wamiliki ni kina nani, maana kuna bilionea mTz anaitwa Ali Mafuriki anatajwa kumiliki pia. Ila kwa Africa Azam Tv amewekeza sana nina hakika top ten kwa idadi ya subscribers hakosekani and ina just less than 6 years.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…