New Broadcaster To Challenge Dstv and Kwese: Meet AzamTV

Hauwezi kufananisha Tv stations za Tanzania na Kenya, za Kenya zimeendelea sana kuanzia kwenye program zake mpaka watangazaji bila ya kusahau coverage.
Tv stations za Tanzania ni za ovyo sana.
 
Naku unga mkono stations za bongo coverage iko poor sana.. ITV inapatikana Dar tu ukienda Arusha ata uwe na Dish kubwa kiasi gan haipatikani, uko Mtwara ndiyo kabisa zina patikana za Kenya tu. Halafu station za Kenya wana ongea kizungu vizuri sana na muda mwingi ni siasa, pia michezo na biashara. Bongo muda mwingi ni vipindi vya kitamaduni.
 
East Africa TV ipo Kenya au Tanzania?? Wewe unaongea tu ushabiki unapoleta swala la coverage. Nenda kanyonye then uludi na jipya
 
I use a satellite my my friend free of charge siatambui kina dstv,zuku kwese au hata hiyo Azam.
Jobless huwezi afford hizo vitu. Inshort kwangu na Azam, Dstv na Startimes. Masikini ni masikini tu. EPL unaangalizia bar.
 
Naku unga mkono stations za bongo coverage iko poor sana.. ITV inapatikana Dar tu ukienda Arusha ata uwe na Dish kubwa kiasi gan haipatikani, uko Mtwara ndiyo kabisa zina patikana za Kenya tu. Halafu station za Kenya wana ongea kizungu vizuri sana na muda mwingi ni siasa, pia michezo na biashara. Bongo muda mwingi ni vipindi vya kitamaduni.
Huyu jamaa nae kichwa maji kama Hamstere
 
Hauwezi kufananisha Tv stations za Tanzania na Kenya, za Kenya zimeendelea sana kuanzia kwenye program zake mpaka watangazaji bila ya kusahau coverage.
Tv stations za Tanzania ni za ovyo sana.
Tv station za Tz ni za ajabu sana. Nilijaribu kuzitizama nikiwa Tz lakini ilikuwa ni kibarua kigumu kweli. Watangazji wanajikunyata wakati wanasoma habari utadhani baridi imewazidia. Confidence zero alafu wote huwa wanavaa koti na nguo oversize.
 
Huyu jamaa nae kichwa maji kama Hamstere
Watu kama hawa una deal nao kitofauti ili asikuchoshe. Hapo nime mpa jibu ambalo limemfurahisha ata kua ana ruka ruka uko alipo. Hamnazo255 kifurushi chake cha masaa 24 kime isha.
 
Tv station za Tz ni za ajabu sana. Nilijaribu kuzitizama nikiwa Tz lakini ilikuwa ni kibarua kigumu kweli. Watangazji wanajikunyata wakati wanasoma habari utadhani baridi imewazidia. Confidence zero alafu wote huwa wanavaa koti na nguo oversize.
Pimbi nywele..haihitaji uwe Tz ili uangalie Tz channels, wewe hujawahi kuja Tz na bado upo analog. Sasa kuvaa makoti over size si ndiyo trending Nairobi. Ukiwa Nairobi mtu utapishana na mijamaa imevaa mikoti mikubwa na viatu vya ngozi vilivyo isha soli, ikipiga hatua kubwa uku wakiwa wamebeba ma briefcase ndani wameweka slippers, tooth brush na toilet paper.[emoji13]
 
Sasa niangalie Tv za Tz nikiwa Kenya kwanini? Hiyo kero yote wakati nina selection kabambe za kikenya? Tz nikiwa zangu home Kajiado, inahitaji dakika 45 tu nifike pale border Mangaa. Upende usipende nchi yako nimetia mguu mara kadhaa, kuna siku nimeishi kule Mkuranga kwa karibia miezi tisa. Hayo kando, jamani mjaribu ku'improve' hizo Tv zenu. Yaani wakati wa habari unapata wanaongea kuhusu Mwanza lakini picha ni ya hajj kule Saudia. 😀😀😀
 
Mnatoka nje ya mada.
Kweli jombaa. Ila kuna mwenzako kaja na habari za zile swag zao za kisukuma, kwenye koti oversize na briefcase, ndani mna pichu ya kila rangi na ule mswaki wa kitamaduni wa kimaasai. 😀
 
Sasa niangalie Tv za Tz nikiwa Kenya kwanini? Hiyo kero yote wakati nina selection kabambe za kikenya? Tz nikiwa zangu home Kajiado, inahitaji dakika 45 tu nifike pale border Mangaa. Upende usipende nchi yako nimetia mguu mara kadhaa, kuna siku nimeishi kule Mkuranga kwa karibia miezi tisa. Hayo kando, jamani mjaribu ku'improve' hizo Tv zenu. Yaani wakati wa habari unapata wanaongea kuhusu Mwanza lakini picha ni ya hajj kule Saudia. 😀😀😀
Pimbi nywele wewe ni mzushi tu.. kwanini sasa usitizame channels za Kenya ukiwa Tz!! Hapa unaongea tu uku jioni una enjoy bongo flava kwenye channels za bongo. Uko Mombasa watu ni bongo movie na flava tu wana jibamba ile enyewe
 
Si uzushi jombaa. Wala sina ubaguzi wowote, ukiwa ugenini unaishi kama wenyeji nilizitizama sana. Kenya kupata channel za Tz, on all platforms, nimezitafuta sana, ni jambo ngumu. Isipokuwa EATV, hao nao bana hawakuwagi serious. Uswazi na kuku mweusi, seriously? Station zenu ni very poor kwenye 'presentation' ya utangazaji wao na vipindi vyao. Ukeli usemwe, ili wabadilike.
 
Platform ipi unayo tumia wewe? kwenye kutangaza mimi nitakupinga labda sema hawana swagga zako za kuvaa makoti makubwa na tai
 
Back
Top Bottom