Saad30
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 2,737
- 5,464
Elewa nimemaanisha nini mkuu.Mbona makasiriko mazee, tatizo ni CCM ndio wamekusababishia maisha magumu, huyo unamuonajee bure tu.
Unaisema CCM wakati ndio imeshikilia mchezo wako wa maisha.
Jiangalie mkuu unafamilia inakutegemea ujue, acha kukaa kidere. Soma namba Na namba haina mwisho