Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku nikibahatisha toto la humu walahi nitalitangaza penzi jipya mubashara...😜Si mchezo.
Itakubidi uvumilie kama miaka 10 hivi.
🤣🤣🤣🤣 namfahamu bhana....Lea wanao hao 8 mkuuHuyo mwamba alikua ndio mimi mkuu...😋
Hata hivyo hakuna kabaya beb...😘
Mbona unanichanganya hapa sasa mkuu....𝖧𝖺𝗂𝗉𝖾𝗇𝖽𝖾𝗓𝗂 𝗄𝗐𝖺 𝗆𝗐𝖺𝗇𝖺𝗎𝗆𝖾 𝗄𝗎𝗐𝖺 𝗁𝗂𝗏𝗂,,, 𝗎𝗓𝗂 𝗎𝗆𝖾𝗄𝖺𝖺 𝗄𝗂𝗄𝖾 𝗌𝖺𝗇𝖺,, 𝗌𝗂 𝖺𝗃𝖺𝖻𝗎 𝖿𝗂𝗇𝖺𝗇𝖼𝗂𝖺𝗅 𝖺𝗄𝖺𝗐𝖺 𝗇𝖽𝗈 𝗄𝗂𝖼𝗁𝗐𝖺 𝗇𝖺 𝗐𝖾𝗐𝖾 𝗇𝗂 𝗆𝗄𝗂𝖺.
Ni hatari, halafu ukute ndio mara ya kwanza unakaa Getto mnajiachia upon huru hubanwi banwi na kijipesa cha mboga kipo......Dunia yote inakuwa milki yenu kwa muda😃Duhhhh....😳
🤣🤣🤣 mume wangu ni Bujibuji Simba NyamaumeNdugu yangu kama kusoma ameshindwa, hata picha haelewi 😃
😀😃😄 𝖿𝗎𝗍𝖺 𝗁𝗂𝗒𝗈 𝗄𝖺𝗎𝗅𝗂,, 𝗃𝖾𝖺𝗅𝗈𝗎𝗌 𝗄𝗐𝖺 𝗅𝗂𝗉𝗂 𝗆𝗄𝗎𝗎???jealous at 𝗐𝗈𝗋𝗄
Pale mko wengi sana lakini🤣🤣🤣 mume wangu ni Bujibuji Simba Nyamaume
Unahisi uko stage ya juu kuliko wengine?😀😃😄 𝖿𝗎𝗍𝖺 𝗁𝗂𝗒𝗈 𝗄𝖺𝗎𝗅𝗂,, 𝗃𝖾𝖺𝗅𝗈𝗎𝗌 𝗄𝗐𝖺 𝗅𝗂𝗉𝗂 𝗆𝗄𝗎𝗎???
𝖲𝗍𝖺𝗀𝖾 𝗇𝗂𝗅𝗂𝗒𝗈𝗉𝗈 𝗆𝗂𝗆𝗂 𝗆𝗄𝗎𝗎 𝗌𝗂 𝗒𝖺 𝗄𝗎𝗒𝖺𝗈𝗇𝖾𝖺 𝗐𝗂𝗏𝗎 𝗆𝖺𝗁𝗎𝗌𝗂𝖺𝗇𝗈 𝗒𝗈𝗒𝗈𝗍𝖾 𝗒𝖺𝗅𝖾 𝗌𝗂 𝗒𝖺𝗇𝗀𝗎 𝗐𝖺𝗅𝖺 𝗒𝖺 𝗆𝗍𝗎 𝗆𝗐𝗂𝗇𝗀𝗂𝗇𝖾,,, 𝗆𝖾 𝗇𝗂𝗆𝖾𝗄𝗐𝖺𝗆𝖻𝗂𝖺 𝗍𝗎 𝗎𝗄𝗐𝖾𝗅𝗂 𝗆𝖼𝗁𝗎𝗇𝗀𝗎 😀😃😄
🤣🤣🤣🤣unataka unifanye nini mie jaman....ili nikikupea uje utangaze kuwa nina tako jeusi 🥴?Ucheshi na sauti
amenifanya nam-miss tu
Mwambie asiogope
Charles kilian ni kipenzi cha watu
Ntafanya party nyumbani
hiyo yote kwa ajili yake
Tena asije peke yake
asiogope aje na wenzake
Ntafanya party nyumbani
hiyo yote kwa ajili yake
Tena asije peke yake
asiogope aje na rafiki zake eh
Basi mwambie aje (aje)
oh aje (aje)
Aje na rafiki zake (aje)
asije peke yake (aje)
Oh aje (aje)
Cc: To yeye
Bujibuji Simba Nyamaume ya kweli haya?Pale mko wengi sana lakini
😀😀 𝗌𝗂𝗃𝖺𝗈𝗇𝖺 𝗆𝖼𝗁𝖺𝗇𝗀𝗈 𝗐𝖺 𝖺𝗂𝗇𝖺 𝗒𝗈𝗒𝗈𝗍𝖾 𝗂𝗅𝖾 𝗐𝖺 𝖻𝗂𝖻𝗂𝖾 𝗆𝗐𝖾𝗇𝗒𝖾𝗐𝖾 𝗍𝗁𝗎𝗌 𝗐𝗁𝗒 𝗇𝗂𝗄𝖺𝗌𝖾𝗆𝖺 𝗎𝗓𝗂 𝗎𝗆𝖾𝗄𝖺𝖺 𝗄𝗂𝗄𝖾 𝗂 𝗆𝖾𝖺𝗇 𝗃𝖺𝗆𝖺𝖺 𝗒𝖾𝗍𝗎 𝗇𝖽𝗈 𝖺𝗇𝖺𝗈𝗇𝖾𝗄𝖺𝗇𝖺 𝖻𝗂𝖻𝗂𝖾 𝗇𝖺 𝖻𝗂𝖻𝗂𝖾 𝗇𝖽𝗈 𝖺𝗇𝖺𝗈𝗇𝖾𝗄𝖺𝗇𝖺 𝗆𝗐𝖺𝗇𝖺𝗎𝗆𝖾 🙌🙌🙌Mbona unanichanganya hapa sasa mkuu....
Muda bado atachangia tu😀😀 𝗌𝗂𝗃𝖺𝗈𝗇𝖺 𝗆𝖼𝗁𝖺𝗇𝗀𝗈 𝗐𝖺 𝖺𝗂𝗇𝖺 𝗒𝗈𝗒𝗈𝗍𝖾 𝗂𝗅𝖾 𝗐𝖺 𝖻𝗂𝖻𝗂𝖾 𝗆𝗐𝖾𝗇𝗒𝖾𝗐𝖾 𝗍𝗁𝗎𝗌 𝗐𝗁𝗒 𝗇𝗂𝗄𝖺𝗌𝖾𝗆𝖺 𝗎𝗓𝗂 𝗎𝗆𝖾𝗄𝖺𝖺 𝗄𝗂𝗄𝖾 𝗂 𝗆𝖾𝖺𝗇 𝗃𝖺𝗆𝖺𝖺 𝗒𝖾𝗍𝗎 𝗇𝖽𝗈 𝖺𝗇𝖺𝗈𝗇𝖾𝗄𝖺𝗇𝖺 𝖻𝗂𝖻𝗂𝖾 𝗇𝖺 𝖻𝗂𝖻𝗂𝖾 𝗇𝖽𝗈 𝖺𝗇𝖺𝗈𝗇𝖾𝗄𝖺𝗇𝖺 𝗆𝗐𝖺𝗇𝖺𝗎𝗆𝖾 🙌🙌🙌
Itakuwa Siri yetu my wangu🤣🤣🤣🤣unataka unifanye nini mie jaman....ili nikikupea uje utangaze kuwa nina tako jeusi 🥴?
Sitaki hata kusikia aisee🙌🏿Itakuwa Siri yetu my wangu