Elewa nimemaanisha nini mkuu.Mbona makasiriko mazee, tatizo ni CCM ndio wamekusababishia maisha magumu, huyo unamuonajee bure tu.
Wagonjwa wawili wa matatizo ya akili wanapopatana mtandaoni huwa tabu tupu. SIjui ndio ujana huo ama kuchelewa kubaleheSijui kwann hua naamini penzi lolote linalotumia platform flan kuaminisha watu wanapendana naona kama Lina tatizo hv
CongratulationsOur love is true and real!!
Sijajua sasa la kwenu limekaaje 🤣🤣ila dada kama ni hvo kwnn haya mapenzi ya promotion yanakua one sided....yaan Moja ndo anakua anahangaika sana kuonyesha mambo yapo byeeeKwahiyo hutaki kumjua shemeji yako kaka mzuri? Niendelee kumficha tufanye yetu kimyakimya?
Wasije wakaniona na wivu ngoja nikae pembeniWagonjwa wawili wa matatizo ya akili wanapopatana mtandaoni huwa tabu tupu. SIjui ndio ujana huo ama kuchelewa kubalehe
Bado pressure ya penzi jipya linakutesa?Penzi jipya natamani hata niliandike mawinguni kila mtu asome na ajue...
🤣🤣Wewe vp?hutaki kufanya makubwa huko piem?🤣🤣Unamuona mtu ni mpole kumbe huko PM anafanya makubwa
Hongereni
Mpende lakini usimwamini na uishi naye kwa akili..Our love is true and real!!
Sikia, sisi wala hatuna mpango wa kuonyeshana. Ni mimi tu nafikiri itakuwa vyema nikiwaletea thread moja tu ya love story yetu maana ina mengi ambayo kiukweli napenda watu wajifunze.Sijajua sasa la kwenu limekaaje 🤣🤣ila dada kama ni hvo kwnn haya mapenzi ya promotion yanakua one sided....yaan Moja ndo anakua anahangaika sana kuonyesha mambo yapo byeee
Nampenda, nitamwamini tu.Mpende lakini usimwamini na uishi naye kwa akili..
Mpe ushauri mzuri, na wao isije ishia kama wewe na jasusi the Bold.Hongereni sana, kama ni kweli mwaya financial services I’m happy for you.