New Couple in Town! I love you so much!

New Couple in Town! I love you so much!

Usije kujaribu hata kuwaza tena hivo....Acha kazi Kwa sababu una mipango yako mingine ya pesa, Ila sio Kwa sababu ya toto la mtu🤣🤣
Tusichokijua ni kwamba hawa wanaume wanapenda wanawake wenye financial freedom......hayo mengine wanajilisha upepo
Ubarikiwe sana mom....niliapa sitoamini mtu tena kiboya....ninae mpenzi ila Akibaki Sawa akienda sawa tu
 
Back
Top Bottom