New couple in town

reymage

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2021
Posts
12,203
Reaction score
28,789
Hatimaye tetesi zimekuwa kweli! Diva wa music Bongo Sukari, Zuchu anatoka na boss wake aliyemtoa kimuziki yaani Diamond Platnumz.

Jana wamenaswa Hyatt Regency wakijiachia full mahaba kiss and touch everywhere. Yasemekana anataka kumuoa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

C54E8174-EE76-458F-BCA6-BBF088A60FF8.jpeg


Kabla ya kuwa na Dada Sukari alikuwa anatoka na yule presenter wao(Aaliyah), ila sasa kahamia kwa Dada wa Kikojani. Dada mtangazaji Gari kanyang'anywa karudi kupanda bajaji na kushika bomba, walikuwa mashosti na Zuchu ila urafiki umekufa maana kamnyang'anya tonge mdomoni na nasikia anataka kuhamia Radio ya Baba G (Majizzo) maana pale tena mambo yamekuwa mengi.

Ila wanawake wengi mwalimu wetu kipofu. Yaani kijana huyu alivyowapiga matukio mama watano Zari the Bosslady, mama D Hamisa Mobetto na yule Dada wa Kikenya Tanasha bado wengine wanajichomeka na kujionesha live live bila chengaa. Si bora wangekuwa wanaliwa kimya kimya tuu!! Hivi hatujifunzi eeehhh!!!!daah!!!

Anyway kila mtu na lake na mchumia janga hula na wa kwao!

Tunasubiri single mama mwingine mjini maana wadada wanakimbilia kujibebesha mimba fastaa ili waache chapa yake. Mjanja alikuwa cappuccino Tunda tu ambaye inadaiwa hakutaka hata kuwa na kizagyote cha mshikaji alikuwa anazichomoa tu kila akipata.

Haya sasa wenye timu zetu haswa team Hamisa tuone mkihamia kwa Dada wa Kikojani Zuchu kumtusi maana mmemtusi mama D mpaka Leo hamjakubali kumove on!!! Kama nawaona vile hukoo waliko Leo Team Zari wakijiandaa mashambulizi dhidi ya Dada Sukari!!

RIP my cousin Warumi! We Miss you[emoji8][emoji8][emoji8]
 
Ningeshangaa sana uzi kuisha bila kutajwa team zari au zari mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

All the best kwao kama hizo fununu ni za kweli
[emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]yeye ndo yuko karibu na kivuruge baba T na team yake ndo wanaongoza kuchamba wanawake wanaotoka na Mr Jeje...kutajwa constant km pie!
 
Ila huyu jamaa mimi nilistukia kitambo hiyo kitu anakula......
katoto kenyewe bado kabichi ukikaosha vizuri kanang'aa
hii ni sawa na kuokota dodo chini ya mti.....
hata ningekuwa mm ningekala
Yani niache katoto kabichi hako!!???
That is abomination repugnant to justice and morality
 
Back
Top Bottom