Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond kuoa ngumu aiseeMay be atamuoa hatuwezi jua ila anajiharibia sana dogo!
Wanawake tunapitia changamoto nyingi sana aisee Hadi kufikia sehemu flani sio mziki tu hata sehemu nyingine kiujumla.Mziki wa bongo utimu ndo unaharibu ukiwa mtoto wa kike ili utoboe kimziki lazima utembee na wadau wa mziki...Zuchu nafikir kaona njia ya yeye kua kwenye chati ni kutoka na boss tu hakuna namna!ila ataachwa kama wengine
Mimba anaweza asibebe maana bimkubwa atakua anampa biti kidogo lakini akibeba mimba ameishaa!
Kama nakuelewa hivii.....Trust me hii ni kiki, diamond ana mapungufu mengi ila kwa kuchagua wanawake wenye sura nzuri na shape hajambo.
Zuchu sura hana ,shape hana hapana hii ni kiki diamond kaipanga.
Hamonise ka trend sana, sasa kaona atafute kiki aongelewe.
Kuna mtu anakubali ukweli huu?
[emoji1][emoji1][emoji1]kuwapelekesha lazima yeye si mama mjengo!!!Wanawake tunapitia changamoto nyingi sana aisee Hadi kufikia sehemu flani sio mziki tu hata sehemu nyingine kiujumla.
Dah ila naskia zuchu Sasa anawapelekesha hapo wasafi mpaka basi, hapo watalogana hatari na mama dangote anaogopa dumba za zenji ni hatari fire
Mama dangote na yeye juzi alienda kwa mganga kisa zuchu anamuogopa Khadija kopa eti anatoka zenji penye wachawi hatari loh. Mama dangote atajua hajui wallah[emoji1][emoji1][emoji1]kuwapelekesha lazima yeye si mama mjengo!!!
Sasa hivi mama Dangote kakutana na wa zenji kawapiga juju watoto wa wanawake wenziwe sasa hivi kafika kwa mjanja mwenziwe!
Yetu macho!
Hata mimi naona hivoAtaoa bmkubwa akidanj
Weehh!usinambie mweehh!ndo wamefikia hukooo!watauana!Mama dangote na yeye juzi alienda kwa mganga kisa zuchu anamuogopa Khadija kopa eti anatoka zenji penye wachawi hatari loh. Mama dangote atajua hajui wallah
Yes anafikiria diamond kalogwa, na adai kujikinga maana Khadija alimuuaga eti mwimba taratibu mweziwe kisa ushindani Sasa mama dangote anaogopa mnoWeehh!usinambie mweehh!ndo wamefikia hukooo!watauana!
Shida bimkubwa hataki mwanawe adumu na wanawake anahisi watafaidi sana!hapo ndo anakosea!
Mama huyo anachangia kumyumbisha mwanawe aiswwYe anahisi akioa atakosa mapochopocho ya mwanawe ndo shida ilipo!ndo maana anapambana asioe au kudumu na mwanamke mmoja!
Ila hizi taarifa mnapata wapi wananzengo?😂😂Mama dangote na yeye juzi alienda kwa mganga kisa zuchu anamuogopa Khadija kopa eti anatoka zenji penye wachawi hatari loh. Mama dangote atajua hajui wallah
[emoji23][emoji23][emoji23]wanazengo tunafatilia ubuyu Instagram aiseeIla hizi taarifa mnapata wapi wananzengo?[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] bi Khadija hatari sana aisee ila haya mahusiano namhurumia zuchu asije kuwa victim wa DiamondMama dangote anaingia kwenye anga za bi Hadija kopa mbona kazi anayo... ila sijapenda kiukweli bora iwe Kiki tu
Wit TuliaHuyo chuzu ni mshamba sana zaidi ya sana ..halafu mkubwa sana sema mwili tu huo umekomaa[emoji848]