New couple in town
Mziki wa bongo utimu ndo unaharibu ukiwa mtoto wa kike ili utoboe kimziki lazima utembee na wadau wa mziki...Zuchu nafikir kaona njia ya yeye kua kwenye chati ni kutoka na boss tu hakuna namna!ila ataachwa kama wengine

Mimba anaweza asibebe maana bimkubwa atakua anampa biti kidogo lakini akibeba mimba ameishaa!
Wanawake tunapitia changamoto nyingi sana aisee Hadi kufikia sehemu flani sio mziki tu hata sehemu nyingine kiujumla.
Dah ila naskia zuchu Sasa anawapelekesha hapo wasafi mpaka basi, hapo watalogana hatari na mama dangote anaogopa dumba za zenji ni hatari fire
 
Trust me hii ni kiki, diamond ana mapungufu mengi ila kwa kuchagua wanawake wenye sura nzuri na shape hajambo.

Zuchu sura hana ,shape hana hapana hii ni kiki diamond kaipanga.

Hamonise ka trend sana, sasa kaona atafute kiki aongelewe.

Kuna mtu anakubali ukweli huu?
Kama nakuelewa hivii.....
 
Wanawake tunapitia changamoto nyingi sana aisee Hadi kufikia sehemu flani sio mziki tu hata sehemu nyingine kiujumla.
Dah ila naskia zuchu Sasa anawapelekesha hapo wasafi mpaka basi, hapo watalogana hatari na mama dangote anaogopa dumba za zenji ni hatari fire
[emoji1][emoji1][emoji1]kuwapelekesha lazima yeye si mama mjengo!!!

Sasa hivi mama Dangote kakutana na wa zenji kawapiga juju watoto wa wanawake wenziwe sasa hivi kafika kwa mjanja mwenziwe!
Yetu macho!
 
Mama dangote na yeye juzi alienda kwa mganga kisa zuchu anamuogopa Khadija kopa eti anatoka zenji penye wachawi hatari loh. Mama dangote atajua hajui wallah
 
Weehh!usinambie mweehh!ndo wamefikia hukooo!watauana!
Shida bimkubwa hataki mwanawe adumu na wanawake anahisi watafaidi sana!hapo ndo anakosea!
 
Yes anafikiria diamond kalogwa, na adai kujikinga maana Khadija alimuuaga eti mwimba taratibu mweziwe kisa ushindani Sasa mama dangote anaogopa mno
 
Mama dangote anaingia kwenye anga za bi Hadija kopa mbona kazi anayo... ila sijapenda kiukweli bora iwe Kiki tu
 
[emoji23][emoji23] bi Khadija hatari sana aisee ila haya mahusiano namhurumia zuchu asije kuwa victim wa Diamond
 
Back
Top Bottom