Nemekuta ubishi mahala fulani, sikujua kwa nini wanabishana haivyo.

-"Dai akimwona huyo..., hata kama ni uchawi utadunda siku hiyo hiyo ya ndoa. Labda anamwoa kuondoa nuksi, ama kalazimishwa'.....pengine mja mzito tayari labda halafu mother kakomaa..", ....hakuna chemistry kabisa kweny ehiyo pair......... ",

Sauti nyingie, "ataoaje mtu ana macho kama njegere pori, uso kama tumbili, ... shape hana, tumbo kama anawatoto watano tayari, ..... sijui nini. "Kweli sikuelewa",

Nikasikia mwingine anasema, kuchamba kwingi, kushika mavi. Mchagua nazi kupata koroma.
Kachezea wenye sifa ya kuwamother house wa haja, kaangukia kwenye tunguri. Hata mziki wake sasa mwisho. Uchawi hauachi mtu salama.

Sio mimi, niliskia kundi moja wanazozana, lakini sikujua nini kinaongelewa.

Kila la kheri kwao.
 
Nitakuwa wa mwisho kaumini hili. Hii kiki tu kama kiki zingine kuna jambo watazindua hakuna ndoa
 
Pisi zote za mjini unaenda kuoa demu hana hata chura,kweli uchawi upo
Mara nyingi wanaume uwa tunatoka na pisi kali lakini uwa tunaoa wanawake wa kawaida. Pisi kali za kutafuna tu si kuoa unless unataka ndoa isidumu, au ufe mapema.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
WCB bila kiki,mambo hayaendi!
Watateseka sana kuzima moto wa "utu"!
Wimbo wetu wa valentine ni Huo,tumeshaamua kama kamati!
Strategies za kiki Diamond anazitumia tokea anaanza muziki, hao unaowasema amewakuta kwenye music industry na akawapita na kawafunika vibaya hivi sasa anashindanishwa na artists wa nje.
All in all hata mimi nadhani hii ni kiki ya ku-boost show ya Zuchu pale Mlimani City on 14th-Feb siku ya Valentine na si zaidi ya hilo, but nobody knows for sure so let's wait and see[emoji2369][emoji2369]!
Panaweza kuibuka unexpected surprises[emoji15][emoji15].
 
Haya yote umeandika wewe ehh
 
Kwani wamesema ni February 14 ya mwaka gani?
Inaweza kuwa 23,24 hata 2030 muhimu iwe Feb 14
 
NDOA IKO WAPI
 
MKUU UKAKAA KABISA NA KUJUA WANAONA?🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…