New couple in town
Wakuu nipo Mombasa kikazi Sasa nyumba ya mwenyeji wangu niliyefikia n MZANZIBAR kwakuzaliwa ila n raia wa Kenya

Sikujua Kama mwenyeji wangu anaundugu wa karibu na bi Khadija kopa narud kwa majukumu yangu namkuta mama kopa kaleta taarifa ya mwanae zuhura kuolewa na kadi za mwaliko zimeletwa

Sasa sijadososa muoaji n Nani Kwan imekuwa Siri mnooo

Za ndaaani zinasema yule ceo wa radio maarufu hapo bongo na mmiliki wakiwanda cha muziki ndye muoaji

Kama Ni kweli basi zuchu KAWAWEZA HADI WATU WAZIMA WOTE na makungwi wa mapenz hapo bongo na Kenya na Uganda

VIPI WENZANGU MMEAMBIWA SARE ITAKUWAJE !

Pia soma,

[URL unfurl="truNimekuta watoto wa mjini sehemu wanabshana.Kumbe ndiyo sababu nimekuta ubishi sehemu fulani ukiendelea. Mmoja kwa sauti aan

Nemekuta ubishi mahala fulani, sikujua kwa nini wanabishana haivyo.

-"Dai akimwona huyo..., hata kama ni uchawi utadunda siku hiyo hiyo ya ndoa. Labda anamwoa kuondoa nuksi, ama kalazimishwa'.....pengine mja mzito tayari labda halafu mother kakomaa..", ....hakuna chemistry kabisa kweny ehiyo pair......... ",

Sauti nyingie, "ataoaje mtu ana macho kama njegere pori, uso kama tumbili, ... shape hana, tumbo kama anawatoto watano tayari, ..... sijui nini. "Kweli sikuelewa",

Nikasikia mwingine anasema, kuchamba kwingi, kushika mavi. Mchagua nazi kupata koroma.
Kachezea wenye sifa ya kuwamother house wa haja, kaangukia kwenye tunguri. Hata mziki wake sasa mwisho. Uchawi hauachi mtu salama.

Sio mimi, niliskia kundi moja wanazozana, lakini sikujua nini kinaongelewa.

Kila la kheri kwao.
 
Wakuu nipo Mombasa kikazi Sasa nyumba ya mwenyeji wangu niliyefikia n MZANZIBAR kwakuzaliwa ila n raia wa Kenya

Sikujua Kama mwenyeji wangu anaundugu wa karibu na bi Khadija kopa narud kwa majukumu yangu namkuta mama kopa kaleta taarifa ya mwanae zuhura kuolewa na kadi za mwaliko zimeletwa

Sasa sijadososa muoaji n Nani Kwan imekuwa Siri mnooo

Za ndaaani zinasema yule ceo wa radio maarufu hapo bongo na mmiliki wakiwanda cha muziki ndye muoaji

Kama Ni kweli basi zuchu KAWAWEZA HADI WATU WAZIMA WOTE na makungwi wa mapenz hapo bongo na Kenya na Uganda

VIPI WENZANGU MMEAMBIWA SARE ITAKUWAJE !

Pia soma,

Nitakuwa wa mwisho kaumini hili. Hii kiki tu kama kiki zingine kuna jambo watazindua hakuna ndoa
 
Pisi zote za mjini unaenda kuoa demu hana hata chura,kweli uchawi upo
Mara nyingi wanaume uwa tunatoka na pisi kali lakini uwa tunaoa wanawake wa kawaida. Pisi kali za kutafuna tu si kuoa unless unataka ndoa isidumu, au ufe mapema.
 
Ila mapenzi ya mtu na bosi wake kunakuwa na uzembe mkubwa Sana kwenye kazi..Niliwahi kumiliki saluni ya kike nikaingiwa na tamaa na mfanyakazi niliyemweka asimamie saluni,kumbe nae alikuwa ananitegeshea mbususu yake ili afanye saluni ndy tobo la kutokea

Kilichofuata ni hasara Kwa kwenda mbele,kila siku analalamika Hana hela ya Kula namwambia chukua ya saluni..kilichofuata baada ya miezi sita nilifilisika.Mpaka leo nimebakiwa na mataulo tu ya kutosha ghetto km kumbukumbu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
WCB bila kiki,mambo hayaendi!
Watateseka sana kuzima moto wa "utu"!
Wimbo wetu wa valentine ni Huo,tumeshaamua kama kamati!
Strategies za kiki Diamond anazitumia tokea anaanza muziki, hao unaowasema amewakuta kwenye music industry na akawapita na kawafunika vibaya hivi sasa anashindanishwa na artists wa nje.
All in all hata mimi nadhani hii ni kiki ya ku-boost show ya Zuchu pale Mlimani City on 14th-Feb siku ya Valentine na si zaidi ya hilo, but nobody knows for sure so let's wait and see[emoji2369][emoji2369]!
Panaweza kuibuka unexpected surprises[emoji15][emoji15].
 
Nemekuta ubishi mahala fulani, sikujua kwa nini wanabishana haivyo.

-"Dai akimwona huyo..., hata kama ni uchawi utadunda siku hiyo hiyo ya ndoa. Labda anamwoa kuondoa nuksi, ama kalazimishwa'.....pengine mja mzito tayari labda halafu mother kakomaa..", ....hakuna chemistry kabisa kweny ehiyo pair......... ",

Sauti nyingie, "ataoaje mtu ana macho kama njegere pori, uso kama tumbili, ... shape hana, tumbo kama anawatoto watano tayari, ..... sijui nini. "Kweli sikuelewa",

Nikasikia mwingine anasema, kuchamba kwingi, kushika mavi. Mchagua nazi kupata koroma.
Kachezea wenye sifa ya kuwamother house wa haja, kaangukia kwenye tunguri. Hata mziki wake sasa mwisho. Uchawi hauachi mtu salama.

Sio mimi, niliskia kundi moja wanazozana, lakini sikujua nini kinaongelewa.

Kila la kheri kwao.
Haya yote umeandika wewe ehh
 
Kwani wamesema ni February 14 ya mwaka gani?
Inaweza kuwa 23,24 hata 2030 muhimu iwe Feb 14
 
Wakuu nipo Mombasa kikazi Sasa nyumba ya mwenyeji wangu niliyefikia n MZANZIBAR kwakuzaliwa ila n raia wa Kenya

Sikujua Kama mwenyeji wangu anaundugu wa karibu na bi Khadija kopa narud kwa majukumu yangu namkuta mama kopa kaleta taarifa ya mwanae zuhura kuolewa na kadi za mwaliko zimeletwa

Sasa sijadososa muoaji n Nani Kwan imekuwa Siri mnooo

Za ndaaani zinasema yule ceo wa radio maarufu hapo bongo na mmiliki wakiwanda cha muziki ndye muoaji

Kama Ni kweli basi zuchu KAWAWEZA HADI WATU WAZIMA WOTE na makungwi wa mapenz hapo bongo na Kenya na Uganda

VIPI WENZANGU MMEAMBIWA SARE ITAKUWAJE !

Pia soma,

NDOA IKO WAPI
 
Strategies za kiki Diamond anazitumia tokea anaanza muziki, hao unaowasema amewakuta kwenye music industry na akawapita na kawafunika vibaya hivi sasa anashindanishwa na artists wa nje.
All in all hata mimi nadhani hii ni kiki ya ku-boost show ya Zuchu pale Mlimani City on 14th-Feb siku ya Valentine na si zaidi ya hilo, but nobody knows for sure so let's wait and see[emoji2369][emoji2369]!
Panaweza kuibuka unexpected surprises[emoji15][emoji15].
MKUU UKAKAA KABISA NA KUJUA WANAONA?🤣🤣
 
Back
Top Bottom