Yani Zuchu ni mtoto mbichi dah huyo demu kilomita ziko ziko mbali sanaIla huyu jamaa mimi nilistukia kitambo hiyo kitu anakula......
katoto kenyewe bado kabichi ukikaosha vizuri kanang'aa
hii ni sawa na kuokota dodo chini ya mti.....
hata ningekuwa mm ningekala
Yani niache katoto kabichi hako!!???
That is abomination repugnant to justice and morality
AiseeYani Zuchu ni mtoto mbichi dah huyo demu kilomita ziko ziko mbali sana
Kabisaa yaani akibeba mimba imekuba kwake mazima!atajuta kuzaliwa na ataona rangi zote!Zuchu asibebe tu mimba, mahusiano na boss mara nyingi huishia pabaya sana
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]jamani!ila mshikaji tatizo player sana,yaani akimtia mimba baasi kamtelekeza Dada wa watuIla huyu jamaa mimi nilistukia kitambo hiyo kitu anakula......
katoto kenyewe bado kabichi ukikaosha vizuri kanang'aa
hii ni sawa na kuokota dodo chini ya mti.....
hata ningekuwa mm ningekala
Yani niache katoto kabichi hako!!???
That is abomination repugnant to justice and morality
Haya mahusiano yataishia pabaya mapenzi na kazi wapi na wapi or else diamond amuoe
Nakuunga mkonoTrust me hii ni kiki, diamond ana mapungufu mengi ila kwa kuchagua wanawake wenye sura nzuri na shape hajambo.
Zuchu sura hana ,shape hana hapana hii ni kiki diamond kaipanga.
Hamonise ka trend sana, sasa kaona atafute kiki aongelewe.
Kuna mtu anakubali ukweli huu?
Hyo siri ya kambi!yawezekana kabisaaHIvi ni kweli icho kibinti kilikua bikra
Simba akizidiwa hata majani hulaa...[emoji1][emoji1]ingawa Zuchu yupo yupo tu!ila kibongobongo yule anaweza akamla ,fisi yulee[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]!!Trust me hii ni kiki, diamond ana mapungufu mengi ila kwa kuchagua wanawake wenye sura nzuri na shape hajambo.
Zuchu sura hana ,shape hana hapana hii ni kiki diamond kaipanga.
Hamonise ka trend sana, sasa kaona atafute kiki aongelewe.
Kuna mtu anakubali ukweli huu?
Kojani ni kabila? Kama ni ndio linapatikana wapi
Hafu zuchu alikuwa anakuja vizuri kimziki ange focus na hyo kazi yake diamond mwenyewe juju lake ni kulala na wanawake aisee. Yani asijiloge kumzalia alifikiria atatulia aisee wanaume kumzalia sio tiketi ya kupendwaKabisaa yaani akibeba mimba imekuba kwake mazima!atajuta kuzaliwa na ataona rangi zote!
Yaani Zuchu na akifanya masikhara mziki utaishia hapo!!
Hajajifunza yule kaka sijui ana nini maana sio kwa wanawake kujilengesha hukoo!!!
Sure mkuuIla playboy ndio walivyo wanakuja kunasa usipopatarajia.......
Hatari sana, sema wanawake huwa hatusikii mpaka yatukute makubwa, Yani wanaume malaya wadada ndio huwakimbiliaMapenzi na kazi haviendani. Ila penzi ni kikohozi acha wakulane wakikinaiana wataishia kama shaa na master J
Mziki wa bongo utimu ndo unaharibu ukiwa mtoto wa kike ili utoboe kimziki lazima utembee na wadau wa mziki...Zuchu nafikir kaona njia ya yeye kua kwenye chati ni kutoka na boss tu hakuna namna!ila ataachwa kama wengineHafu zuchu alikuwa anakuja vizuri kimziki ange focus na hyo kazi yake diamond mwenyewe juju lake ni kulala na wanawake aisee. Yani asijiloge kumzalia alifikiria atatulia aisee wanaume kumzalia sio tiketi ya kupendwa