New couple in town
"achia ngazi bibi mchuma unaondoka huo, achia ngazi bibi mchuma unaondoka huo" [emoji443][emoji445]

Umbea ukiwa unawahusisha watu wa zamani kitu code zinajifungua zenyewe, ukikutana na umbea unahusisha watoto wa miaka hii, naishia kufunga uzi tu, maana mambo hayashuki kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23]huo wimbo wa achia ngazi Bibi mchuma unaondoka nilikuwaga mtoto enzi hizo nacheza rede kwa kwenda mbele hafu taarabu zilikuwaga zinanoga, I think Khadija kopa akamu mjibu Huyo Nasma khamisi kuhusu mwanamke mazingira Bibi sio kunuka kikwapa
 
Hii habari mbona ilisambaa Instagram ya zuchu na diamond two months ago mange ndio kaipost juzi Ili ku boost application yake ila ig watu walisha I discus na haikuwa breaking news
Then why!,!,yule presenter agombana na bi Dada?na aporwe gari?km sio kweli?
 
Mmhh!kumbe mwanga anaogopa kuwangiwaa...hahaaa!!

Alimuua nani?au marehemu Layla Khatibuu eehhh!!!maana alikuaga tishio yule Dada kiukweli enzi hizooo!!!

Bimkubwa atulie tuu!mkuki kwa nguruwe!!!
Eti yule Nasma Muimba taarabu mwrnziwe
 
Hii habari mbona ilisambaa Instagram ya zuchu na diamond two months ago mange ndio kaipost juzi Ili ku boost application yake ila ig watu walisha I discus na haikuwa breaking news
Wewe kwa akili yako kabisa unaamini Diamond na Zuchu wanatoka kimapenzi?
 
Then why!,!,yule presenter agombana na bi Dada?na aporwe gari?km sio kweli?
Aliya walipangiwa nyumba na diamond like apartment hivi na huyo Aaliyah Hadi mimba ya diamond inadaiwa alitoa kubwa tu Bora alivofanya hivo maana angekuwa single mother Sasa hivi. So now zuchu ndo mama mjengo
 
Mpk Leo naitazama sura ya my warumi siamini kama ameleft in peace!naumia sana nakumbuka pacha wake alivyokua Analia kama mtoto mdogo!!daah!
Umauti ni jambo lenye kutia huzuni, bad thing is umauti haukwepeki, wala haubagui,hauangalii kama unapendwa na jamii au inakuchukua, wakati ukifika unakubeba, kikubwa ni kuishi vizuri na watu, kutenda mema(yale anayopenda muumba)

Mungu amsamehe pale alipokosea, binadamu sote dhaifu, hatuishi kukosea.
 
[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2] [emoji11]makaveli uko vzr sana,baasi alikua na wapinzani wawili huyo wa achia ngazi,na mwingine mule ndani ya bendi yao wenyewe aliimbaga Kijeba
Yes bi layla khatibu, juzi kati niliona usiku wa nini sijui, ilikuwa ni taarabu tupu, nikamuona mwanae bi layla kama sikosei.

Tuzi ya marehemu nasma khamis kidogo, ikawa haina muwakilishi sanamu la michelin akaombwa kumchukulia, sijui alijisikiaje alipokuwa anaipokea kama kweli alimzima mwenzie.

Ila haya ya kuua tunaongea tu, mungu ndio mjuzi zaidi wa yaliyojificha hapo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]huo wimbo wa achia ngazi Bibi mchuma unaondoka nilikuwaga mtoto enzi hizo nacheza rede kwa kwenda mbele hafu taarabu zilikuwaga zinanoga, I think Khadija kopa akamu mjibu Huyo Nasma khamisi kuhusu mwanamke mazingira Bibi sio kunuka kikwapa
Hivi mwanamke mazingira ilitoka kipindi nasma bado yu hai? Sina hakika..

Lakini mama zuchu ile ligi aliishindwa, nasma kidogo alikuwa mtu, shepu analo, sishangai watu kudai ngoma ilimmaliza hasa kipindi kile cha 2000 mwanzoni ngoma ilikuwa ya moto mnoo..

Kuna ile achia ngazi bibi mchuma unaondoka huo, achia ngazi bib mchuma unaondoka huo, ni hatari na robo tatu¾.
 
Aliya walipangiwa nyumba na diamond like apartment hivi na huyo Aaliyah Hadid mimba ya diamond alitoa kubwa tu Bora alivofanya hivo maana angekuwa single mother Sasa hivi. So now zuchu ndo mama mjengo
Aaliyah .. umenikumbusha enzi zangu nachungulia movie za kiutu uzima, kuna clip niliona ikabidi nikatafute nitizame zaidi, kabinti kanafaa kulumagia, ndio hivyo kako hukoooo maandishi ma3.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]huo wimbo wa achia ngazi Bibi mchuma unaondoka nilikuwaga mtoto enzi hizo nacheza rede kwa kwenda mbele hafu taarabu zilikuwaga zinanoga, I think Khadija kopa akamu mjibu Huyo Nasma khamisi kuhusu mwanamke mazingira Bibi sio kunuka kikwapa
Hahaha!ilikua 1999nakumbuka tunakaa mwananyamala khadija alitoa Y2K kumjibu Nasma ,wakatoa albamu nzima ,wakapambanishwaga pale Vijana Social hall that day nakumbuka kiingilio kilikua buku ,mtaa mzima walienda kasoro Mimi mtoto wa Ustadh na msomi wa kitaa[emoji1][emoji1]!!!
 
Back
Top Bottom