New couple in town
Aliya walipangiwa nyumba na diamond like apartment hivi na huyo Aaliyah Hadi mimba ya diamond alitoa kubwa tu Bora alivofanya hivo maana angekuwa single mother Sasa hivi. So now zuchu ndo mama mjengo
Aseehh!ila mondi anapenda kavu kavu[emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28]!!!alikua anajiona mama mjengo!nafkiri kwa Zuchu yupo kimkakati zaidi!!!km walivofanya kwa Donna
 
Hahaha!ilikua 1999nakumbuka tunakaa mwananyamala khadija alitoa Y2K kumjibu Nasma ,wakatoa albamu nzima ,wakapambanishwaga pale Muungano that day nakumbuka kiingilio kilikua buku ,mtaa mzima walienda kasoro Mimi mtoto wa Ustadh na msomi wa kitaa[emoji1][emoji1]!!!
[emoji23][emoji23][emoji23]aisee mbona ilikuwa hatari sana zama hizo
 
Aaliyah.. umenikumbusha enzi zangu nachungulia movie za kiutu uzima, kuna clip niliona ikabidi nikatafute nitizame zaidi, kabinti kanafaa kulumagia, ndio hivyo kako hukoooo maandishi ma3.
Ulishindikana tabia mkuu
 
[emoji1][emoji1][emoji1]kuwapelekesha lazima yeye si mama mjengo!!!

Sasa hivi mama Dangote kakutana na wa zenji kawapiga juju watoto wa wanawake wenziwe sasa hivi kafika kwa mjanja mwenziwe!
Yetu macho!
Domo kwenye maswala ya kuchungulia vibuyu usitanie kabisa
 
Aseehh!ila mondi anapenda kavu kavu[emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28]!!!alikua anajiona mama mjengo!nafkiri kwa Zuchu yupo kimkakati zaidi!!!km walivofanya kwa Donna
Yes diamond ni kavu, huwa nawaza sisi wanawake huwa tunafikiria nini, Yani mtu anatoka na shoga ako na wewe unajipeleka tu hapo hapo.
But kwa zuchu ni next victim wa Diamond aisee
 
Ulishindikana tabia mkuu
Kabisa mkuu, nashukuru mungu nimebadilika kwa asilimia kubwa mnooo, hapa nilipo namshukuru saana mungu, kila nikitizama niliyotenda nyuma, kama umauti ungenikuta bila kutubu walau robo sijui ingekuwaje!! [emoji848][emoji85]
 
Mmhh!kumbe mwanga anaogopa kuwangiwaa...hahaaa!!

Alimuua nani?au marehemu Layla Khatibuu eehhh!!!maana alikuaga tishio yule Dada kiukweli enzi hizooo!!!

Bimkubwa atulie tuu!mkuki kwa nguruwe!!!
Think tetesi nilizikia
Enzi hizo nasma kidogo yuko hot [emoji91] [emoji3062] sana.
 
Hivi mwanamke mazingira ilitoka kipindi nasma bado yu hai? Sina hakika..

Lakini mama zuchu ile ligi aliishindwa, nasma kidogo alikuwa mtu, shepu analo, sishangai watu kudai ngoma ilimmaliza hasa kipindi kile cha 2000 mwanzoni ngoma ilikuwa ya moto mnoo..

Kuna ile achia ngazi bibi mchuma unaondoka huo, achia ngazi bib mchuma unaondoka huo, ni hatari na robo tatu¾.
Yes ulitoka kipindi hicho hicho akiwa hai,
Maana bi Khadija alikuwa anamjibu Nasma, na Nasma akimwimbia achia ngazi mchuma unaondoka na kuonyesha jishape lake matata, Nasma alikuwaga mzuri na hyo taarabu ilibamba hatari
 
Bi. Love kila akijiangalia anaona nyuma kapigwa pasi shep hovyo, alimaindi mnooo..
Na kweli Michelin yaani ukiangalia lile sanamu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1]!!!!
 
Umauti ni jambo lenye kutia huzuni, bad thing is umauti haukwepeki, wala haubagui,hauangalii kama unapendwa na jamii au inakuchukua, wakati ukifika unakubeba, kikubwa ni kuishi vizuri na watu, kutenda mema(yale anayopenda muumba)

Mungu amsamehe pale alipokosea, binadamu sote dhaifu, hatuishi kukosea.
Ameen Mungu atupe mwisho mwema!!!
 
Yes bi layla khatibu, juzi kati niliona usiku wa nini sijui, ilikuwa ni taarabu tupu, nikamuona mwanae bi layla kama sikosei.

Tuzi ya marehemu nasma khamis kidogo, ikawa haina muwakilishi sanamu la michelin akaombwa kumchukulia, sijui alijisikiaje alipokuwa anaipokea kama kweli alimzima mwenzie.


Ila haya ya kuua tunaongea tu, mungu ndio mjuzi zaidi wa yaliyojificha hapo.
Yule Layla mashallah alikua mrembo jamani!!!Yaani kafa na utamu wake
 
[emoji23][emoji23][emoji23]aisee mbona ilikuwa hatari sana zama hizo
Mnooo!taarabu iko kwenye kiki...yaani pale Vijana Social Hall nimekosea ndo ulikua ukumbi sasa ,enzi hizoo!!
 
Industry hii inabidi uwe mzima kujiweka sawa kwa Babu au kwa kalumanzila
Wanapigana mishindo ya kichawi balaa...yaani industry za mziki bongo ujue kucheza na tunguri vzr!!la sivyo utaishia hewani tuu!!!
 
Back
Top Bottom