Kwahiyo kusema ice prince ni underground ndo kujua mziki acha uongo ulizani umekutana na kilaza jamaa kakuelekeza we unamjua domo tu et ice prince ni underground daa mi sio kilaza kama wwUnAjua nini kuhusu mziki we najua iyo list nikikuambia unitajie nyimbo 10 za hao wasanii utonijibu ubishi wa me nilikuwa naongea na watu wanaojua mziki sio hongei na kuhusu kibakuli hapa
Kwahiyo kusema ice prince ni underground ndo kujua mziki acha uongo ulizani umekutana na kilaza jamaa kakuelekeza we unamjua domo tu et ice prince ni underground daa mi sio kilaza kama ww
Kwa hyo msanii asipokuwa na hit song ni underground??Wapi nimesema ice prince underground me nimesema ivi ice prince kachuja uwezi mfananisha na mwaka jana kuna mwenzako nilimuuliza hapa anitajie hit song ya ice prince aliotoa mwaka huu akanyamaza sasa we naomba unitajie nyimbo ya ice prince aliotoa na ikaita sasa ivi hapa
Kwa hyo msanii asipokuwa na hit song ni underground??
Ndo maana nikakwambia we ni muongo unamjua stanley enow ww ?? Africa ipi unazungumzia au umewaona kwenye tuzo haoNimesema kachuja kwani msanii kuchuja ndo underground underground ni msanii ambaye hajatoka Hana hit song hata moja uwezi kusema Leo Mr Nice ni underground Ice prince kachuja sasa ivi hip hop ya Africa Ina runiwa na Casper nyovest, Aka, Sarkodie, Olamide, Phyno na K.o.
UnAjua nini kuhusu mziki we najua iyo list nikikuambia unitajie nyimbo 10 za hao wasanii utonijibu ubishi wa me nilikuwa naongea na watu wanaojua mziki sio hongei na kuhusu kibakuli hapa
Ndo maana nikakwambia we ni muongo unamjua stanley enow ww ?? Africa ipi unazungumzia au umewaona kwenye tuzo hao
Ndo anaiwakilisha Cameron alishinda mtv Awards za Nigeria sasa unavyosema Africa au Cameron ni America??Haaah et Stanley enow haaah sio kwny tuzo na nyimbo na album zao nazisikiliza huyu Stanley ni underground alikuwepo kwny best new act MTV 2014 yaani msanii chipukizi anae chipukia haaah ivi alishinda
Ndo anaiwakilisha Cameron alishinda mtv Awards za Nigeria sasa unavyosema Africa au Cameron ni America??
Mimi nilishaachana na wewe kv nimeshaona ufahamu wako ni mdogo huna ubavu wa ku-argue na mimi! Sasa huyo unayemuita, hatimae aliandika hivi:
Na hiyo afrranking alimaanisha African Ranking African Ranking na orodha yao ni hii hapachige sorry...afrranking kuna collabo ya maandishi walifanya na forbes
Daa ila mi bora niwe kilaza tu lakini kusoma essay siwezi "Mimi nilishaachana na wewe kv nimeshaona ufahamu wako ni mdogo huna ubavu wa ku-argue na mimi! Sasa huyo unayemuita, hatimae aliandika hivi:Na hiyo afrranking alimaanisha African Ranking kwamba walifanya collabo na Forbes... yupo right, ni kwamba African Ranking wali-refer list ya Forbes ambayo ni:View attachment 299834 na hiyo ni list ya African Ranking na sio Forbes na Forbes mara zote wanatoa orodha ya mkwanja kwahiyo usibishane na mimi wakati mtu mwenyewe kilaza hujui chochote na matokeo yake utaendelea kulia lia kwamba ni essay kwa sababu vilaza wote duniani ndo walivyo!
Kwa staili hii kila siku utabaki kulia lia tu kwamba "oh, unajifanya unajua!" Yaani hata Enow mwenyewe akisikia unasema yeye ni moja ya marapa bora Afrika ataku-mind manake atajua unamkejeli kumbe ufahamu wako ndo umeishia hapo!!!Ndo maana nikakwambia we ni muongo unamjua stanley enow ww ?? Africa ipi unazungumzia au umewaona kwenye tuzo hao
Ushabadilika kutoka ice prince mpaka Stanley enow haya asiyekubali kushindwa c mshindaniUnderground ni huyu Stanley si ndo huyo kibakuli kaomba collabo au