New hit song by Alikiba-Maumivu per day

New hit song by Alikiba-Maumivu per day

UnAjua nini kuhusu mziki we najua iyo list nikikuambia unitajie nyimbo 10 za hao wasanii utonijibu ubishi wa me nilikuwa naongea na watu wanaojua mziki sio hongei na kuhusu kibakuli hapa
Kwahiyo kusema ice prince ni underground ndo kujua mziki acha uongo ulizani umekutana na kilaza jamaa kakuelekeza we unamjua domo tu et ice prince ni underground daa mi sio kilaza kama ww
 
Wapi nimesema ice prince underground me nimesema ivi ice prince kachuja uwezi mfananisha na mwaka jana kuna mwenzako nilimuuliza hapa anitajie hit song ya ice prince aliotoa mwaka huu akanyamaza sasa we naomba unitajie nyimbo ya ice prince aliotoa na ikaita sasa ivi hapa
 
Kwa hyo msanii asipokuwa na hit song ni underground??
 
Nimesema kachuja kwani msanii kuchuja ndo underground underground ni msanii ambaye hajatoka Hana hit song hata moja uwezi kusema Leo Mr Nice ni underground Ice prince kachuja sasa ivi hip hop ya Africa Ina runiwa na Casper nyovest, Aka, Sarkodie, Olamide, Phyno na K.o.
 
Ndo maana nikakwambia we ni muongo unamjua stanley enow ww ?? Africa ipi unazungumzia au umewaona kwenye tuzo hao
 
UnAjua nini kuhusu mziki we najua iyo list nikikuambia unitajie nyimbo 10 za hao wasanii utonijibu ubishi wa me nilikuwa naongea na watu wanaojua mziki sio hongei na kuhusu kibakuli hapa

Mkuu hawa utakeshanao yote hiyo wanatetea tu iliionekane sklepa yao ina project kubwa inayokuja
 
Ndo maana nikakwambia we ni muongo unamjua stanley enow ww ?? Africa ipi unazungumzia au umewaona kwenye tuzo hao

Haaah et Stanley enow haaah sio kwny tuzo na nyimbo na album zao nazisikiliza huyu Stanley ni underground alikuwepo kwny best new act MTV 2014 yaani msanii chipukizi anae chipukia haaah ivi alishinda
 
Ndo anaiwakilisha Cameron alishinda mtv Awards za Nigeria sasa unavyosema Africa au Cameron ni America??
 
Mkuu hawa utakeshanao yote hiyo wanatetea tu iliionekane sklepa yao ina project kubwa inayokuja

Haaah huyu pwilo Kilaza kweli yaani kibakuli anafanya collabo na wasanii underground na waliochuja yeye anawaona wakubwa
 
Last edited by a moderator:
Ndo anaiwakilisha Cameron alishinda mtv Awards za Nigeria sasa unavyosema Africa au Cameron ni America??

Alishinda category gani MTV mama maana best hip hop artist ni Casper nyovest wa south Africa huyo Stanley alishinda category gani pwilo
 
Last edited by a moderator:
Mkuuu huyo chige utabishana nae mpaka kesho hakubali yy kila kitu anajua halafu anashusha essay kedrick fikisha salamu hizo
Mimi nilishaachana na wewe kv nimeshaona ufahamu wako ni mdogo huna ubavu wa ku-argue na mimi! Sasa huyo unayemuita, hatimae aliandika hivi:
chige sorry...afrranking kuna collabo ya maandishi walifanya na forbes
Na hiyo afrranking alimaanisha African Ranking African Ranking na orodha yao ni hii hapa Rappers.jpg na ndio maana ingawaje niliomba niwekewe source ya Forbes ni orodha ya Rapper bora wa Afrika hamna aliyetoa coz' hiyo orodha haipo!! So kijana, usibishane na mimi, mie sio level yako matokeo yake kila siku utabaki kulia lia kwamba eti essay--- na lazima ulie kwa sababu ndio tabia ya vilaza ilivyo... ikiwa unashindwa vitu vidogo, uwezo wa kuandika utautoa wapi!
 
Mimi nilishaachana na wewe kv nimeshaona ufahamu wako ni mdogo huna ubavu wa ku-argue na mimi! Sasa huyo unayemuita, hatimae aliandika hivi:Na hiyo afrranking alimaanisha African Ranking kwamba walifanya collabo na Forbes... yupo right, ni kwamba African Ranking wali-refer list ya Forbes ambayo ni:View attachment 299834 na hiyo ni list ya African Ranking na sio Forbes na Forbes mara zote wanatoa orodha ya mkwanja kwahiyo usibishane na mimi wakati mtu mwenyewe kilaza hujui chochote na matokeo yake utaendelea kulia lia kwamba ni essay kwa sababu vilaza wote duniani ndo walivyo!
Daa ila mi bora niwe kilaza tu lakini kusoma essay siwezi "
 
Alishinda category gani MTV mama maana best hip hop artist ni Casper nyovest wa south Africa huyo Stanley alishinda category gani pwilo
Category ya francophone
 
Last edited by a moderator:
Haaah huyu pwilo Kilaza kweli yaani kibakuli anafanya collabo na wasanii underground na waliochuja yeye anawaona wakubwa
Kama mi kilaza na ww utakuwa popoma maana ice prince sio underground na kashachukua mituzo kibao
 
Last edited by a moderator:
Kama mi kilaza na ww utakuwa popoma maana ice prince sio underground na kashachukua mituzo kibao
pwilo cjasema ice prince ni underground nimesema ni kuwa Ame fade
 
Last edited by a moderator:
Hahaha chige naona bado mnabishana aseeh
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana nikakwambia we ni muongo unamjua stanley enow ww ?? Africa ipi unazungumzia au umewaona kwenye tuzo hao
Kwa staili hii kila siku utabaki kulia lia tu kwamba "oh, unajifanya unajua!" Yaani hata Enow mwenyewe akisikia unasema yeye ni moja ya marapa bora Afrika ataku-mind manake atajua unamkejeli kumbe ufahamu wako ndo umeishia hapo!!!
 
Back
Top Bottom