Mimi nilishaachana na wewe kv nimeshaona ufahamu wako ni mdogo huna ubavu wa ku-argue na mimi! Sasa huyo unayemuita, hatimae aliandika hivi:Na hiyo
afrranking alimaanisha African Ranking kwamba walifanya collabo na Forbes... yupo right, ni kwamba African Ranking wali-refer list ya Forbes ambayo ni:
View attachment 299834 na hiyo ni list ya African Ranking na sio Forbes na Forbes mara zote wanatoa orodha ya mkwanja kwahiyo usibishane na mimi wakati mtu mwenyewe kilaza hujui chochote na matokeo yake utaendelea kulia lia kwamba ni essay kwa sababu vilaza wote duniani ndo walivyo!