Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasikilizaga taarifa ya habari..?so what?
Unasikilizaga taarifa ya habari..?
vyovyoteHapana hua Naangalia!
vyovyote
basi wakiwa wanamaliza uwe unawahoji so what..?
me si mtaalam wa lugha lkn navyoelewa taarifa ni harifu/kuarifu habari ni matukio/tukio kama siko right kosoa tuSamahani Mkuu Nna Maswali Mawili Kama Si Matatu,Ni hivi;
MOSI: Unawezaje Kunitofautishia Kati Ya Taarifa Na Habari
PILI: Hii Iliyotetwa Hapa Je ni Habari Ama Taarifa!!???
NAOMBA KUWASILISHA.
"When they pile up like that they become evidence"-Quentin ARROWHe he he! mkuu vitu vyengine huonekana vidogovidogo lkn hupelekea kuja kubainika kwa vitu vikubwa let them work.
umeshajiuliza kwanini maeneo hayo tu(kwa hapa bongo) ndo kunapatikana vitu kama hivyo..?
tu anawezaje kukanyaga tope la volcano ambayo haijakauka na asingue? likikauka mtu akipita footprint itatokea? kwa kipindi cha mamia au maelfu ya miaka,upepo,jua,mvua kwanini hizo alama zisifutike hadi leo hii? maana jiwe peke yake lina life span yake,itakuwa unyayo unaosubiria uje ugunduliwe?Sio tope unalolifahamu mkuu, ni tope la majivu baada ya kulipuka volcano. Tope lake likikauka huwa extrusive igneous rock.
NYAYO ZA MIAKA MILLIONI 3.5 WALIPIMA KWA KUTUMIA NINI.
Wanasayansi na watafiti wamepata ushahidi wa kipekee sana duniani kwa kupata nyayo Zaidi ya 400 za mwanadamu wa kale katika tabaka linalokadiriwa kuwa na miaka 5000 mpaka 19,000. Nyayo hizo ni za makundi mbalimbali ya watu waliokuwa wametembea juu ya tope la majivu ya volcano pembezoni mwa Ziwa Natron katika site iliyopewa jina la Engare Sero, sio mbali na mlima wa volcano wa Ol Doinyo Lengai (Mlima wa Mungu kwa tafsiri ya Kimasai).
Kuna nyayo nyingine za 3.5 Millioni ambazo zipo Laetoli na zinashikilia rekodi ya kuwa nyayo za kale Zaidi. Pia kuna nyayo za South Afrika ambazo zinakadiriwa kuwa na miaka 117,000 zilizogundulika mwaka 1995.
Nyayo hizi zilizogundulika hivi karibuni zina upekee sana kutokana na wingi wa nyayo na zimehusisha watu wa aina nyingi. Katika vipimo vya foot anatomy inaweza kuonyesha size ya individual, ukubwa wa mwili pamoja na umri. Hii itasaidia pia kuchunguza tabia za jamii. Hii ni kutoka kwa Dr Cynthia Liutkus-Pierce kutoka chou kikuu cha Appalanchian State University ambaye ni geologist na mwanachama wa National Geographic Channel.
Kipimo cha umri wa hizo nyayo kilitumia Radiometric dating ya kupima crystals za udongo mgumu wenye hizo nyayo.
Hii ni mojawapo kati ya tafiti kubwa duniani kuhusiana na mambo kale katika bara la Africa hususani Tanzania. Tanzania imekuwa ikiwa na ushahidi na site kubwa zinazofahamika duniani lakini je tunazitumia vipi hizo site katika kuleta maendeleo?
Hilo swali hata mm nimejiuliza sana.m
tu anawezaje kukanyaga tope la volcano ambayo haijakauka na asingue? likikauka mtu akipita footprint itatokea? kwa kipindi cha mamia au maelfu ya miaka,upepo,jua,mvua kwanini hizo alama zisifutike hadi leo hii? maana jiwe peke yake lina life span yake,itakuwa unyayo unaosubiria uje ugunduliwe?
Wanapiga ramli mkuu wasituzingueNYAYO ZA MIAKA MILLIONI 3.5 WALIPIMA KWA KUTUMIA NINI.
m
tu anawezaje kukanyaga tope la volcano ambayo haijakauka na asingue? likikauka mtu akipita footprint itatokea? kwa kipindi cha mamia au maelfu ya miaka,upepo,jua,mvua kwanini hizo alama zisifutike hadi leo hii? maana jiwe peke yake lina life span yake,itakuwa unyayo unaosubiria uje ugunduliwe?
NYAYO ZA MIAKA MILLIONI 3.5 WALIPIMA KWA KUTUMIA NINI.
kuna tofauti gani kati y radiometric dating na carbon dating. nipe vitu maana mambo yako haya.Habari Mkulu
Laetoli footprints zipo kwenye mwamba wa volcano iliyolipuka kipindi cha 3.5 million. Hivyo mara ya kwanza walitumia potassium argon inayotumika kupimia volcano ililipuka kipindi gani. Hiyo ilikwepo kabla ya ugunduzi wa nyayo. Hivi sasa technology imechange na kuna njia nyingi za kupimia age ya miamba hasa igneous rock ni rahisi kupima kwa sababu ya nature ya elemnts zake ikitoka katika lava au magma.
Radiometric dating
Radiometric dating
Mkuu unaambiwa walitembea juu ya majivu ya volcano na volcano ikishaganda unakuwa mwamba mgumu/ignous rock. Ni rahisi kukuta hizo remains juu ya huo mwamba kama huja undergo some changes for a long period of time.Sasa ilikuwaje hizo nyayo zilishindwa kufutika miaka yote hiyo?