NEW! Nyayo za Mwanadamu wa kale, Zaidi ya 400 zagunduliwa Tanzania.

Ujinga wa wazungu..hivi wewe kila siku unatembea kwenye tope ...kila mahali jee ujaacha mark yoyote ije ionekane miaka 100 ijayo?
Wazungu mengine wanapiga jaramba tu
Mjiongeze basi hata na vitu hivi vidogo dogo waweza kujisomea na ukaelewa. Sasa itakapoletwa knoledge ya 5 types of civilization of beings si utasema watu wanakufuru sasa?
 
Ujinga wa wazungu..hivi wewe kila siku unatembea kwenye tope ...kila mahali jee ujaacha mark yoyote ije ionekane miaka 100 ijayo?
Wazungu mengine wanapiga jaramba tu
Mjiongeze basi hata na vitu hivi vidogo dogo waweza kujisomea na ukaelewa. Sasa itakapoletwa knoledge ya 5 types of civilization of beings au intelligence in universe out there si utasema watu wanakufuru sasa?
 
Mkuu unaambiwa walitembea juu ya majivu ya volcano na volcano ikishaganda unakuwa mwamba mgumu/ignous rock. Ni rahisi kukuta hizo remains juu ya huo mwamba kama huja undergo some changes for a long period of time.
Hatutaki utafiti wao uishie hapo tu. na tunataka watuletee na mafuvu ya watu ambao walikuwa wanapitapita maeneo hayo na watuambie hao watu walikuwa wanafanya nini?
Bila kufanya hivyo hapo tutakuwa tunadanganyana.
 
Wanapiga ramli mkuu wasituzingue
Hawa jamaa unaweza ukute kuna mijamaa ilienda kutembea yenyewe au iliwatuma watu kwenye tope wakati wamvua.
Na saizi kwa sababu nikiangazi pamekauka wameludi tena na wameenda kupima vya uongo harafu wanatuambia ni nyayo za miaka million 3.5 iliyo pita.
 
Hahahaha

Kwi kwi! kwi!
Hizo nyayo za kwenye miamba mbona zipo sana kijijini kwetu, tukiwa wadogo tukiziita nyayo za Yesu, ila nilipopata elimu nikajua kuwa ni Lava ilotokana na volcanic eruption, hao binadamu wa kale waliikanyaga kabla haijapoa(haija cool).
Sina uhakika kama bado zipo zile nyayo za Yesu, ni miaka mingi sijapita milima hiyo. Vitu vya kawaida sana hivyo
 
Sayansi naipendea kutu kimoja toa concept yako kama ni ya kipimbi wanakuja wengine kuiweka sawa...
 
Sio tope unalolifahamu mkuu, ni tope la majivu baada ya kulipuka volcano. Tope lake likikauka huwa extrusive igneous rock.
tope hilo mtu atapitaje hapo wakati linakua moto..na kama alipita limekauka sio tope tena ni rock kama unavo sema...
kumbuka tope ya volcano ni lava ambayo joto lake ni -100 C ..SASA HUYO Binadamu atalikanyaga vipi.
na once likipowa linabaki kuwa jiwe .
kuna vumbi lake ambalo kama itanyesha mvua ndio unaweza kupata tope, lakini huwa ni mbolea na udongo wake ni laini..
sasa hii theory ati ukaona unyayo wa miaka laki ..huu ni uongo wa mchana ...ni kitu hakiwezekani...hata siku moja
 
Mjiongeze basi hata na vitu hivi vidogo dogo waweza kujisomea na ukaelewa. Sasa itakapoletwa knoledge ya 5 types of civilization of beings au intelligence in universe out there si utasema watu wanakufuru sasa?
tope hilo mtu atapitaje hapo wakati linakua moto..na kama alipita limekauka sio tope tena ni rock kama unavo sema...
kumbuka tope ya volcano ni lava ambayo joto lake ni -100 C ..SASA HUYO Binadamu atalikanyaga vipi.
na once likipowa linabaki kuwa jiwe .
kuna vumbi lake ambalo kama itanyesha mvua ndio unaweza kupata tope, lakini huwa ni mbolea na udongo wake ni laini..
sasa hii theory ati ukaona unyayo wa miaka laki ..huu ni uongo wa mchana ...ni kitu hakiwezekani...hata siku moja
 
tope hilo mtu atapitaje hapo wakati linakua moto..na kama alipita limekauka sio tope tena ni rock kama unavo sema...
kumbuka tope ya volcano ni lava ambayo joto lake ni -100 C ..SASA HUYO Binadamu atalikanyaga vipi.
na once likipowa linabaki kuwa jiwe .
kuna vumbi lake ambalo kama itanyesha mvua ndio unaweza kupata tope, lakini huwa ni mbolea na udongo wake ni laini..
sasa hii theory ati ukaona unyayo wa miaka laki ..huu ni uongo wa mchana ...ni kitu hakiwezekani...hata siku moja
Hao jamaa wanataka kujitafutia umaarufu wa lazima.
Na wameona sisi watanzania ndio warahisi kudanganyika.
 
Habari Mkulu

Laetoli footprints zipo kwenye mwamba wa volcano iliyolipuka kipindi cha 3.5 million. Hivyo mara ya kwanza walitumia potassium argon inayotumika kupimia volcano ililipuka kipindi gani. Hiyo ilikwepo kabla ya ugunduzi wa nyayo. Hivi sasa technology imechange na kuna njia nyingi za kupimia age ya miamba hasa igneous rock ni rahisi kupima kwa sababu ya nature ya elemnts zake ikitoka katika lava au magma.

Radiometric dating

Radiometric dating
Samahani Mkuu natoka nje ya uzi kidogo,
Kule sekondari nilifundishwa kuwa Argon na element zingine zilizopo group 8 ni " non reactive"
Ninachotaka kujua hiyo Potassium argon ilipatikana vipi?
 
Sasa naanza kuamini msemo wa baadhi ya watu kuwa Afrika hasa Tanzania ilikua sehemu ya kuzikia watu.
Walianza kugundua mafuvu, leo wamegundua nyayo, hii inaonesha hizo nyayo zilikuwa za waliokuwa wanaenda kuzika wenzao waliotangulia.
 
Hatutaki utafiti wao uishie hapo tu. na tunataka watuletee na mafuvu ya watu ambao walikuwa wanapitapita maeneo hayo na watuambie hao watu walikuwa wanafanya nini?
Bila kufanya hivyo hapo tutakuwa tunadanganyana.

Mafuvu yalishapatikana kabla ya hizo nyayo. Mfano mwaka 1999 Dr Fidelis Masao wa UDSM alikuwa anafanya survey ukanda huo huo na kupata fuvu na vipande vya meno.
 
Back
Top Bottom