Apollo
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 4,920
- 3,240
- Thread starter
- #61
Hizi nyayo za watu wa kale zinapatukana afrika ila historia ya mtu mweusi inajulikana baada ya biashara ya utumwa kuanza
Good points. True words.
Ni kwa sababu na sisi waafrika tunajisahaulisha kuwa historia yetu duniani ndio ya kale zaidi.
Pia dini zinafanya watu waone historia imeanza hivi karibuni.
Ni kitu cha ajabu kukuta Africans wanashikilia historia ya slavery na colonialism na kuacha historia ya kabla ya kufika kwa wenyeji wa nje ya Africa.
We are pharaohs ambao tumejisahau.
Wamisri wenyewe wa sasa wanajiita watoto wa mafarao wakati Misri empire sio ya waarabu wala wazungungu bali ni mali ya Nubians na waafrica.
I don't know what's wrong.