Naomba kusema kuwa mwanasamu wa kwanza niyule aliumbwa na Mungu tatizo ni kuwa ni lini Mungu alifanya UUMBAJI ?
Nasema hayo kwa sababu AFRICAN HISTORY tumedanganywa sana maana vitabu ving3ti vimeandikwa na waezungu na wao waliandika kwa kujipendelea
Nasema hivyo kwa sababu mzungu analenga kumfuta mwafrika katika uso wa dunioa Ndiyo maana wazungu hawataki kukubali kuwa Mungu alimuumba ADAM na HAWA wakiwa ni WAAFRIKA, na kusema kuwa BARA LA AFRICA NI BLACK CONTINENT
Neno BLACK CONTINENT linaa maana pana
1) inamaanisha bara la waafrika
2) inamaanisha kuwa halijulikani
Katika point ya pili wazungu wanadai bara la Afrika halina kumbukumbu lakini wanajuwa kabisa kuwa mwanadamu wa kwanza aliumbwa to2kea afrika ,
Mzee wetu Ibreahimu aliishi afrika akina Mfalme Daudi au Sulemani, Hata yule malkia wa SHEBA ilipo YEMENI leo waliishi Waafrika hivi sikweli waafreika hatuna history, ni WAZI KUWA MWANASAMU WA KWANZA HAPA SUNIANI NI AFERICA, Iwe mwanadamu mifupa imepatikana kazi kazi kusini au kati kati ya bara la Afrika mwanadamu maisha yalianzia AFRICA,