#COVID19 New World Order: My COVID-19 Passport

Haa haa haa. Hii card ninayo na nimechanja Moderna. Signature ya heathcare professional ni hiyo hiyo
 
Ina expire mwezi wa 10 duh
 
Pindi utakapokuja kuzaa watoto wana sura zinazofanana na mbuzi nayo utupdate.
 
kuuliza si ujinga. Hiyo chanjo ina expiry date baada ya kudungwa? ama hiyo expiry date ni ya dawa yenyewe hapo inayoonekana?
Nilivyowaelewa wataalam wenyewe ni kwamba hiyo chanjo inakuja kustimulate kinga ya mwili ili uweze kuikabili covid. Kinga ikishakuwa stimulated sijui kama italala tena.
Kama italala tena naamini watakuja na plan.
 
kuuliza si ujinga. Hiyo chanjo ina expiry date baada ya kudungwa? ama hiyo expiry date ni ya dawa yenyewe hapo inayoonekana?
Hiyo inayoonyeshwa hapo ni ya chanjo (dawa) yenyewe mkuu; na siyo mwisho wa kinga mwilini baada ya kudungwa.

Lakini naona tatizo litakuja jitokeza baadae, na hizi 'strain' mpya zinazoibuka kila mahali.

Je, Nyani bado atakuwa na kinga iwapo ataambukizwa na 'strain' ya Uingereza na/au ya Afrika Kusini?

Hapo ndipo penye utata.
 
Mpuuzi kweli wewe!!! BBC tangu lini ikawa ni chanzo cha habari za uchochoroni? Wall Street Journal moja ya magazeti yenye reputation kubwa duniani tangu lini likawa la uchochoroni!? [emoji15] JIONGEZE acha kuonyesha ujuha wako hadharani.
Duuuh asa Ungenielewesha Tu Mkuu na Sio Kuniita Mpuuzi.

Rejea website uliyotuma tofauti na bbc... Makala ya bbc inakoleza mjadala tu. Lakini hata bbc hawawezi kuwa taarifa za uhakika kwasababu ni third source of information tofauti na websites za serikali ya Uingereza pamoja na ile ya jumuiya ya Ulaya, ambao ndo primary source of information.
 
Utachanjwa na ukoo wenu wote na utapimwa kwa kipimo cha wachina baada ya kuchanjwa.
 
Mkuu, kwani tangia lini mgonjwa akachanjwa? Chanjo siku zote ni kwa walio wazima ili wasije kuwa wagonjwa.

Mgonjwa yake ni tiba.
Ungetumia akili kidogo ungeelewa ana maana gani kusema yeye sio mgonjwa.Kwa mgonjwa ana maana sio mgonjwa wa magonjwa kama diabetes, high blood pressure,maradhi ya moyo na kadhalika.Wagonjwa hawa wanapewa kipaumbele kwenye chanjo.
 
Gwajifix kazilishe chanjo zako. Usipangie watu wanaoumiza vichwa vyao kuleta ahueni duniani wakati wewe unakula kondoo zako.
Utachanjwa kwa chanjo zilizopo sasa zilizoidhinishwa na WHO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…