#COVID19 New World Order: My COVID-19 Passport

#COVID19 New World Order: My COVID-19 Passport

View attachment 1788516

Happy Monday!

Popote ulipo mdau, kama una fursa ya kupata chanjo ya Corona, fanya hima uipate.

Kwa siku zijazo, itakurahisishia sana mambo mengi, ikiwemo safari za kimataifa.

Mimi nimechanjwa licha ya kwamba si mgonjwa.

Sikupatwa na mzio wowote ule kutokana na chanjo hiyo zaidi ya bega kuuma tu kidogo kwa siku kama mbili hivi.

Ukishadungwa, kwa pande hizi nilipo, wanakupa hako ka kadi kama uthibitisho wa kuchanjwa. Halafu ni bure kabisa!!

Chanjweni ili msije kupata usumbufu hapo baadaye.

Shime!
Haa haa haa. Hii card ninayo na nimechanja Moderna. Signature ya heathcare professional ni hiyo hiyo
 
View attachment 1788516

Happy Monday!

Popote ulipo mdau, kama una fursa ya kupata chanjo ya Corona, fanya hima uipate.

Kwa siku zijazo, itakurahisishia sana mambo mengi, ikiwemo safari za kimataifa.

Mimi nimechanjwa licha ya kwamba si mgonjwa.

Sikupatwa na mzio wowote ule kutokana na chanjo hiyo zaidi ya bega kuuma tu kidogo kwa siku kama mbili hivi.

Ukishadungwa, kwa pande hizi nilipo, wanakupa hako ka kadi kama uthibitisho wa kuchanjwa. Halafu ni bure kabisa!!

Chanjweni ili msije kupata usumbufu hapo baadaye.

Shime!
Ina expire mwezi wa 10 duh
 
Pindi utakapokuja kuzaa watoto wana sura zinazofanana na mbuzi nayo utupdate.
 
kuuliza si ujinga. Hiyo chanjo ina expiry date baada ya kudungwa? ama hiyo expiry date ni ya dawa yenyewe hapo inayoonekana?
Nilivyowaelewa wataalam wenyewe ni kwamba hiyo chanjo inakuja kustimulate kinga ya mwili ili uweze kuikabili covid. Kinga ikishakuwa stimulated sijui kama italala tena.
Kama italala tena naamini watakuja na plan.
 
kuuliza si ujinga. Hiyo chanjo ina expiry date baada ya kudungwa? ama hiyo expiry date ni ya dawa yenyewe hapo inayoonekana?
Hiyo inayoonyeshwa hapo ni ya chanjo (dawa) yenyewe mkuu; na siyo mwisho wa kinga mwilini baada ya kudungwa.

Lakini naona tatizo litakuja jitokeza baadae, na hizi 'strain' mpya zinazoibuka kila mahali.

Je, Nyani bado atakuwa na kinga iwapo ataambukizwa na 'strain' ya Uingereza na/au ya Afrika Kusini?

Hapo ndipo penye utata.
 
Mpuuzi kweli wewe!!! BBC tangu lini ikawa ni chanzo cha habari za uchochoroni? Wall Street Journal moja ya magazeti yenye reputation kubwa duniani tangu lini likawa la uchochoroni!? [emoji15] JIONGEZE acha kuonyesha ujuha wako hadharani.
Duuuh asa Ungenielewesha Tu Mkuu na Sio Kuniita Mpuuzi.

Rejea website uliyotuma tofauti na bbc... Makala ya bbc inakoleza mjadala tu. Lakini hata bbc hawawezi kuwa taarifa za uhakika kwasababu ni third source of information tofauti na websites za serikali ya Uingereza pamoja na ile ya jumuiya ya Ulaya, ambao ndo primary source of information.
 
Utachanjwa na ukoo wenu wote na utapimwa kwa kipimo cha wachina baada ya kuchanjwa.
Mkuu hachanjwi mtu hapa ,hatutaki tuwe mazezeta na kuwa sawa na wale simba walivishwa kola za chip kwa ajili ya kuwafuatilia popote pale walipo, nadhani tumekuwa wepesi sana kusaha haya mambo ya chanjo,kwenye miaka ya mwanzoni mwa chanjo kulikuwa na chanjo kwa wanawake,wengi wa waliochanjwa ni tasa hadi kesho, na kama kusafiri si lazima tusafiri Bongo ni peponi mkuu. Hata huu ushawishi wa hizi kamati tulijua matokeo yake ,mkitaka kuchanjwa endeleeni kuchanjwa tu,matokeo yake mtayaona. Yaani mtu na akili zako unafurahia cheti cha chanjo eti bure kabisa na ndio pasipoti ,hiyo ni pasipoti ya ama kutawaliwa na mabeberu au kuwa zezeta.
 
Mkuu, kwani tangia lini mgonjwa akachanjwa? Chanjo siku zote ni kwa walio wazima ili wasije kuwa wagonjwa.

Mgonjwa yake ni tiba.
Ungetumia akili kidogo ungeelewa ana maana gani kusema yeye sio mgonjwa.Kwa mgonjwa ana maana sio mgonjwa wa magonjwa kama diabetes, high blood pressure,maradhi ya moyo na kadhalika.Wagonjwa hawa wanapewa kipaumbele kwenye chanjo.
 
Gwajifix kazilishe chanjo zako. Usipangie watu wanaoumiza vichwa vyao kuleta ahueni duniani wakati wewe unakula kondoo zako.
Utachanjwa kwa chanjo zilizopo sasa zilizoidhinishwa na WHO.
Ngabu, ebu tupatie ufafanuzi kwa kina - hivi mwenzetu umechanjwa chanjo zinazo zalishwa kwa teknilojia ya asili au umedungwa chanjo zinazo zalishwa kwa teknolojia ya kijinetiki ie mRNA manipulated vaccines, ambazo hata wataalamu wa nyaja za molecular Biology na immunology wanazitilia mashaka sana - uwezi kuona madhala yake hivi sasa, lakini tinkering around na masuala ya kijinetiki inaweza ku-prime kinga ya mwili ku-react vibaya sana siku za usoni kwa vitu ambavyo ni vya kawaida tu,mfano: vumbi, bedbugs, pollen grains, peanut butter, manukato, madawa nk - kumbuka hii ni mara ya kwanza chanjo kuzalishwa kwa kutumia mbinu za kuchezea vinasaba, na kibaya zaidi chanjo hizo hazikufanyiwa majaribio ya muda mrefu Dunia ikajiridhisha kwamba hazina madhara in short and long term usage,kudharau concerns/maoni ya wataalam wengi walio bobea katika nyanja/taaluma za kinga ya mwili wameonya mara nyingi kuhusu hatari zinazo weza kusababishwa na chanjo za mRNA lakini inaelekea WHO wamehamua kuweka pamba masikioni - sasa nini yatakuwa matokeo ya kudharau maoni ya wataalamu ambao wanajali UTU na hawana maslahi kwenye western Big Pharma Companies, wanasema watu wataanza kufa kimaajabu na hakuna mtu atakumbuka kwamba chanzo cha vifo vya ghafla vinatokana na chanjo za mRNA watu walizo chanjwa miaka ya nyuma.

Cha kujiuliza hapa ni: Kwa nini WHO, Big Pharma Companies za mataifa ya magharibi yanayo kuwa funded kwa kiasi kikubwa na mfuko wa Bill Gates na mkewe wakishirikiana na World Bank wame gang up kulazimisha Dunia idungwe chanjo za mRNA zenye utata,wanatumia World Bank kulazimisha third World kichukuwa mkopo wa kununulia chanjo zao, yaani wako radhi kubebesha nchi masikini mzigo wa madeni ambayo watalazimika kuyalipa miaka nenda rudi.

Nataka nieleweke hapa,sio kwamba napinga zoezi la Watanzania kudungwa chanjo, nisicho kubaliana nacho ni hizi chanjo za kijinetiki ambazo zinaweza kusababisha makandokando mengi kwa watumiaji - Serikali iruhusu tu chanjo zinazo zalishwa kwa njia ya kiasili inayo tumika kwa zaidi ya miaka sabini kuzalisha chanjo za Polio, Ndui, lubella, TB nk. Bottom line is: zalisheni chanjo za COVID-19 kwa kutumia njia ya asili (attenuated viruses) hii ndio njia ambayo imetumiwa miaka nenda rudi bila ya kuleta madhara yoyote,kwa bahati nzuri mataifa ya Uchina, Urusi,Cuba zinazalisha chanjo za COVID-19 kwa kutumia njia ya asili, binafsi napendekeza kwa Serikali yetu tukufu kwamba, kama Taifa letu litahamua kuchanja wananchi basi kwa usalama wa Watanzania wote chanjo zinunuliwe kutoka aidha Uchina au Urusi au Cuba - my opinion.

Narudia kukumbusha kwa mara nyingine tena kwamba chanjo zenye vinasaba vya mRNA hazifai hata kidogo, Serikali yetu hisikubali kuingizwa kwenye mtego wa panya wa Makampuni ya Oxford-AstraZeneca stuff, Tanzanians matters.
 
Back
Top Bottom