Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haa haa haa. Hii card ninayo na nimechanja Moderna. Signature ya heathcare professional ni hiyo hiyoView attachment 1788516
Happy Monday!
Popote ulipo mdau, kama una fursa ya kupata chanjo ya Corona, fanya hima uipate.
Kwa siku zijazo, itakurahisishia sana mambo mengi, ikiwemo safari za kimataifa.
Mimi nimechanjwa licha ya kwamba si mgonjwa.
Sikupatwa na mzio wowote ule kutokana na chanjo hiyo zaidi ya bega kuuma tu kidogo kwa siku kama mbili hivi.
Ukishadungwa, kwa pande hizi nilipo, wanakupa hako ka kadi kama uthibitisho wa kuchanjwa. Halafu ni bure kabisa!!
Chanjweni ili msije kupata usumbufu hapo baadaye.
Shime!
Umechanjwa wapi? Zip code….Haa haa haa. Hii card ninayo na nimechanja Moderna. Signature ya heathcare professional ni hiyo hiyo
Arudi kuchanjwa?Rudi nyumbani Nyani Ngabu.
Nyumbani kumenoga!
Siko USA ila nafanya job na shirika fulani la USA na waliletewa vaccine kutoka huko.Umechanjwa wapi? Zip code….
Upo sahihiMkuu, kwani tangia lini mgonjwa akachanjwa? Chanjo siku zote ni kwa walio wazima ili wasije kuwa wagonjwa.
Mgonjwa yake ni tiba.
Ina expire mwezi wa 10 duhView attachment 1788516
Happy Monday!
Popote ulipo mdau, kama una fursa ya kupata chanjo ya Corona, fanya hima uipate.
Kwa siku zijazo, itakurahisishia sana mambo mengi, ikiwemo safari za kimataifa.
Mimi nimechanjwa licha ya kwamba si mgonjwa.
Sikupatwa na mzio wowote ule kutokana na chanjo hiyo zaidi ya bega kuuma tu kidogo kwa siku kama mbili hivi.
Ukishadungwa, kwa pande hizi nilipo, wanakupa hako ka kadi kama uthibitisho wa kuchanjwa. Halafu ni bure kabisa!!
Chanjweni ili msije kupata usumbufu hapo baadaye.
Shime!
Nilivyowaelewa wataalam wenyewe ni kwamba hiyo chanjo inakuja kustimulate kinga ya mwili ili uweze kuikabili covid. Kinga ikishakuwa stimulated sijui kama italala tena.kuuliza si ujinga. Hiyo chanjo ina expiry date baada ya kudungwa? ama hiyo expiry date ni ya dawa yenyewe hapo inayoonekana?
Njoo nikufanyie jaribio kwa kukudunga mimba basi..Pindi utakapokuja kuzaa watoto wana sura zinazofanana na mbuzi nayo utupdate.
Tanzania hata ikiwapo siyo kwa kiasi kikubwa sana kwa sababu ya joto kali la TanzaniaHata Tz itakuja na mwenye kutaka atachanjwa, wasafiri wengi mno watachanjwa
Hiyo inayoonyeshwa hapo ni ya chanjo (dawa) yenyewe mkuu; na siyo mwisho wa kinga mwilini baada ya kudungwa.kuuliza si ujinga. Hiyo chanjo ina expiry date baada ya kudungwa? ama hiyo expiry date ni ya dawa yenyewe hapo inayoonekana?
Duuuh asa Ungenielewesha Tu Mkuu na Sio Kuniita Mpuuzi.Mpuuzi kweli wewe!!! BBC tangu lini ikawa ni chanzo cha habari za uchochoroni? Wall Street Journal moja ya magazeti yenye reputation kubwa duniani tangu lini likawa la uchochoroni!? [emoji15] JIONGEZE acha kuonyesha ujuha wako hadharani.
Mkuu hachanjwi mtu hapa ,hatutaki tuwe mazezeta na kuwa sawa na wale simba walivishwa kola za chip kwa ajili ya kuwafuatilia popote pale walipo, nadhani tumekuwa wepesi sana kusaha haya mambo ya chanjo,kwenye miaka ya mwanzoni mwa chanjo kulikuwa na chanjo kwa wanawake,wengi wa waliochanjwa ni tasa hadi kesho, na kama kusafiri si lazima tusafiri Bongo ni peponi mkuu. Hata huu ushawishi wa hizi kamati tulijua matokeo yake ,mkitaka kuchanjwa endeleeni kuchanjwa tu,matokeo yake mtayaona. Yaani mtu na akili zako unafurahia cheti cha chanjo eti bure kabisa na ndio pasipoti ,hiyo ni pasipoti ya ama kutawaliwa na mabeberu au kuwa zezeta.
Ungetumia akili kidogo ungeelewa ana maana gani kusema yeye sio mgonjwa.Kwa mgonjwa ana maana sio mgonjwa wa magonjwa kama diabetes, high blood pressure,maradhi ya moyo na kadhalika.Wagonjwa hawa wanapewa kipaumbele kwenye chanjo.Mkuu, kwani tangia lini mgonjwa akachanjwa? Chanjo siku zote ni kwa walio wazima ili wasije kuwa wagonjwa.
Mgonjwa yake ni tiba.
Ngabu, ebu tupatie ufafanuzi kwa kina - hivi mwenzetu umechanjwa chanjo zinazo zalishwa kwa teknilojia ya asili au umedungwa chanjo zinazo zalishwa kwa teknolojia ya kijinetiki ie mRNA manipulated vaccines, ambazo hata wataalamu wa nyaja za molecular Biology na immunology wanazitilia mashaka sana - uwezi kuona madhala yake hivi sasa, lakini tinkering around na masuala ya kijinetiki inaweza ku-prime kinga ya mwili ku-react vibaya sana siku za usoni kwa vitu ambavyo ni vya kawaida tu,mfano: vumbi, bedbugs, pollen grains, peanut butter, manukato, madawa nk - kumbuka hii ni mara ya kwanza chanjo kuzalishwa kwa kutumia mbinu za kuchezea vinasaba, na kibaya zaidi chanjo hizo hazikufanyiwa majaribio ya muda mrefu Dunia ikajiridhisha kwamba hazina madhara in short and long term usage,kudharau concerns/maoni ya wataalam wengi walio bobea katika nyanja/taaluma za kinga ya mwili wameonya mara nyingi kuhusu hatari zinazo weza kusababishwa na chanjo za mRNA lakini inaelekea WHO wamehamua kuweka pamba masikioni - sasa nini yatakuwa matokeo ya kudharau maoni ya wataalamu ambao wanajali UTU na hawana maslahi kwenye western Big Pharma Companies, wanasema watu wataanza kufa kimaajabu na hakuna mtu atakumbuka kwamba chanzo cha vifo vya ghafla vinatokana na chanjo za mRNA watu walizo chanjwa miaka ya nyuma.
Cha kujiuliza hapa ni: Kwa nini WHO, Big Pharma Companies za mataifa ya magharibi yanayo kuwa funded kwa kiasi kikubwa na mfuko wa Bill Gates na mkewe wakishirikiana na World Bank wame gang up kulazimisha Dunia idungwe chanjo za mRNA zenye utata,wanatumia World Bank kulazimisha third World kichukuwa mkopo wa kununulia chanjo zao, yaani wako radhi kubebesha nchi masikini mzigo wa madeni ambayo watalazimika kuyalipa miaka nenda rudi.
Nataka nieleweke hapa,sio kwamba napinga zoezi la Watanzania kudungwa chanjo, nisicho kubaliana nacho ni hizi chanjo za kijinetiki ambazo zinaweza kusababisha makandokando mengi kwa watumiaji - Serikali iruhusu tu chanjo zinazo zalishwa kwa njia ya kiasili inayo tumika kwa zaidi ya miaka sabini kuzalisha chanjo za Polio, Ndui, lubella, TB nk. Bottom line is: zalisheni chanjo za COVID-19 kwa kutumia njia ya asili (attenuated viruses) hii ndio njia ambayo imetumiwa miaka nenda rudi bila ya kuleta madhara yoyote,kwa bahati nzuri mataifa ya Uchina, Urusi,Cuba zinazalisha chanjo za COVID-19 kwa kutumia njia ya asili, binafsi napendekeza kwa Serikali yetu tukufu kwamba, kama Taifa letu litahamua kuchanja wananchi basi kwa usalama wa Watanzania wote chanjo zinunuliwe kutoka aidha Uchina au Urusi au Cuba - my opinion.
Narudia kukumbusha kwa mara nyingine tena kwamba chanjo zenye vinasaba vya mRNA hazifai hata kidogo, Serikali yetu hisikubali kuingizwa kwenye mtego wa panya wa Makampuni ya Oxford-AstraZeneca stuff, Tanzanians matters.
Mimi tangu zamani situmii kitu chochote cha mzungu maana wanayo nia mbaya...
Tupende vya kwetu ...ata wanatumia ARV au mipira ya tendo waache kabisa kutumia za nje
Njoo nikufanyie jaribio kwa kukudunga mimba basi..