beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano kuhusu athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi duniani ambapo amesisitiza juhudi za kupambana na janga hilo kutopuuzwa
Amesema, "Bado tunataabika na changamoto kubwa ya UVIKO19 ambayo imeangusha hali ya Uchumi na kufuta mafanikio yaliyofikiwa katika miongo kadhaa"
Amesema japokuwa wengi wengi huchukja kirahisi kupanda kwa joto kama moja ya athari za mabadiliko ya TabiaNchi, bado hali ni mbaya kwa Nchi kama Tanzania kwani husababisha athari mbaya kwa sekta zinazotegea maliasili kama Kilimo