Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni bavicha uliejikomboa kifikraTumuachebmama achape kazi, hata angekwenda New York kwa holiday tu ni haki yake.
Tupunguze chuki kwa afya zetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni bavicha uliejikomboa kifikraTumuachebmama achape kazi, hata angekwenda New York kwa holiday tu ni haki yake.
Tupunguze chuki kwa afya zetu.
Mkutano wa UNGA na hii mingine ya pembeni yote ni " Talk show" inakusanya wauza sura kutoka Dunia nzima kuteketeza pesa za walipa kodi tu, haina tija kwa mwananchi wa kawaida.Ni vizuri je mkutano huu unamsaidiaje mtanzania wa hali ya chini !?
Kuna uzi humu unasema Lisu atagombea ukatibu mkuu UNNi mwaka wa tatu sasa Lisu amekuwa akiwahadaa mazombi wake kuwa atahutubia baraza la usalama na vikao vikubwa kama hivi. Cha kushangaza raisi Samia amefanikiwa kwa muda mchache tu alioingia.
Nimekuelewa mkuu chukua soda kwa mangi ntalipaMkutano wa UNGA na hii mingine ya pembeni yote ni " Talk show" inakusanya wauza sura kutoka Dunia nzima kuteketeza pesa za walipa kodi tu, haina tija kwa mwananchi wa kawaida.
Namuona Vasco da Gama nyuma ya pazia akitumia utandawazi ku nufaisha ukoo wa mchwa... Kazi iendelee tu!.
Si wale sasa umewaona wamevaa suti safi, wamemzunguka Mama kwenye 'escalator' ...hayo mambo ya mabaka yanabaki huko bongo....Mbona wale bakabaka siwaoni huko amereka amewaacha wapi?..au ndio kutishana tanzania kweli madaraka matamu.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli Ngosha hakuwa Rais,Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano kuhusu athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi duniani ambapo amesisitiza juhudi za kupambana na janga hilo kutopuuzwa
Amesema, "Bado tunataabika na changamoto kubwa ya UVIKO19 ambayo imeangusha hali ya Uchumi na kufuta mafanikio yaliyofikiwa katika miongo kadhaa"
Amesema japokuwa wengi wengi huchukja kirahisi kupanda kwa joto kama moja ya athari za mabadiliko ya TabiaNchi, bado hali ni mbaya kwa Nchi kama Tanzania kwani husababisha athari mbaya kwa sekta zinazotegea maliasili kama Kilimo
View attachment 1946692
View attachment 1946691View attachment 1946697
Kiukweli Ngosha hakuwa Rais,tulipigwa,huyu Sasa ndio Rais, anaiwakilisha Nchi kimataifa, mwaka 2030 ccm wawe makini wasije kurudia makosa kusimamisha watu ambao historia zao zimejaa utataRais Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano kuhusu athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi duniani ambapo amesisitiza juhudi za kupambana na janga hilo kutopuuzwa
Amesema, "Bado tunataabika na changamoto kubwa ya UVIKO19 ambayo imeangusha hali ya Uchumi na kufuta mafanikio yaliyofikiwa katika miongo kadhaa"
Amesema japokuwa wengi wengi huchukja kirahisi kupanda kwa joto kama moja ya athari za mabadiliko ya TabiaNchi, bado hali ni mbaya kwa Nchi kama Tanzania kwani husababisha athari mbaya kwa sekta zinazotegea maliasili kama Kilimo
View attachment 1946692
View attachment 1946691View attachment 1946697
Mbona unaongea kama sio msomiIla hii kitu si hata Waziri angeweza kuwakilisha?
Kiukweli Ngosha hakuwa Rais,Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano kuhusu athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi duniani ambapo amesisitiza juhudi za kupambana na janga hilo kutopuuzwa
Amesema, "Bado tunataabika na changamoto kubwa ya UVIKO19 ambayo imeangusha hali ya Uchumi na kufuta mafanikio yaliyofikiwa katika miongo kadhaa"
Amesema japokuwa wengi wengi huchukja kirahisi kupanda kwa joto kama moja ya athari za mabadiliko ya TabiaNchi, bado hali ni mbaya kwa Nchi kama Tanzania kwani husababisha athari mbaya kwa sekta zinazotegea maliasili kama Kilimo
View attachment 1946692
View attachment 1946691View attachment 1946697
Kiukweli Ngosha hakuwa Rais,tulipigwa,huyu Sasa ndio Rais, anaiwakilisha Nchi kimataifa, mwaka 2030 ccm wawe makini wasije kurudia makosa kusimamisha watu ambao historia zao zimejaaRais Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano kuhusu athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi duniani ambapo amesisitiza juhudi za kupambana na janga hilo kutopuuzwa
Amesema, "Bado tunataabika na changamoto kubwa ya UVIKO19 ambayo imeangusha hali ya Uchumi na kufuta mafanikio yaliyofikiwa katika miongo kadhaa"
Amesema japokuwa wengi wengi huchukja kirahisi kupanda kwa joto kama moja ya athari za mabadiliko ya TabiaNchi, bado hali ni mbaya kwa Nchi kama Tanzania kwani husababisha athari mbaya kwa sekta zinazotegea maliasili kama Kilimo
View attachment 1946692
View attachment 1946691View attachment 1946697
Nyie team dikteta hamuwezi kuona jema lolote kwa Rais wasasaNi vizuri je mkutano huu unamsaidiaje mtanzania wa hali ya chini !?
Nendeni Chatttle mkafagilie makaburi, muacheni mama apige kaziAisee inaonyesha jinsi gani uwezo wako wa kufikiria umefika mwisho
Mbona povu ndugu,wapi nimeongelea dikteta,jibu swali kwa faida ya jamii na sio ushabiki wa kisiasaKiukweli Ngosha hakuwa Rais,
Kiukweli Ngosha hakuwa Rais,tulipigwa,huyu Sasa ndio Rais, anaiwakilisha Nchi kimataifa, mwaka 2030 ccm wawe makini wasije kurudia makosa kusimamisha watu ambao historia zao zimejaa
Nyie team dikteta hamuwezi kuona jema lolote kwa Rais wasasa
mungu wenu wa Chatttle halikuwa hajui lugha ndio maana alishindwa kusafiri, Acha Samia haiwakilishe Nchi kimataifa,tulisahaulika Sana chini ya uongozi wa yule kiumbeMkutano wa UNGA na hii mingine ya pembeni yote ni " Talk show" inakusanya wauza sura kutoka Dunia nzima kuteketeza pesa za walipa kodi tu, haina tija kwa mwananchi wa kawaida.
Namuona Vasco da Gama nyuma ya pazia akitumia utandawazi ku nufaisha ukoo wa mchwa... Kazi iendelee tu!.
Endeleeni kupigwa za usoNendeni Chatttle mkafagilie makaburi, muacheni mama apige kazi
We fukara usie na mbele Wala nyuma huwezi kujua faida ya hiyo safari,we tulia dada achezee bakora we upate kula hapo kwa shemeji,Mbona povu ndugu,wapi nimeongelea dikteta,jibu swali kwa faida ya jamii na sio ushabiki wa kisiasa
Mi nipigwe za uso!!? Sio nyinyi ambao mnatamani dikteta afufuke muendeleze ukanda wenu na kuteka watu,Endeleeni kupigwa za uso
mungu wenu wa Chatttle halikuwa hajui lugha ndio maana alishindwa kusafiri, Acha Samia haiwakilishe Nchi kimataifa,tulisahaulika Sana chini ya uongozi wa yule kiumbe
Akili ndogo bila shaka wew ni mjamaica uliezamia Tz ,endeleeni kulima mabogaWe fukara usie na mbele Wala nyuma huwezi kujua faida ya hiyo safari,we tulia dada achezee bakora we upate kula hapo kwa shemeji,
maybe, nyie endeleeni kumuenzi dikteta,mazuzu nyieAkili ndogo bila shaka wew ni mjamaica uliezamia Tz ,endeleeni kulima maboga
Mkutano wa UNGA hauna faida yoyote kwa mwananchi yeyote Dunia nzima... Elewa kwanza hilo.mungu wenu wa Chatttle halikuwa hajui lugha ndio maana alishindwa kusafiri, Acha Samia haiwakilishe Nchi kimataifa,tulisahaulika Sana chini ya uongozi wa yule kiumbe
Ivi wew ni me au ke!? Una mawazo mgando sn jitafakari usijeingia mirembeMi nipigwe za uso!!? Sio nyinyi ambao mnatamani dikteta afufuke muendeleze ukanda wenu na kuteka watu,
Nchi sasa ipo kwenye mikono salama,ya watu wenye exposure