Tumuachebmama achape kazi, hata angekwenda New York kwa holiday tu ni haki yake.Ni vizuri je mkutano huu unamsaidiaje mtanzania wa hali ya chini !?
Nenda Mkoa wa Njombe, wilaya ya Makete Tanzania.Asante tunamuomba rais atulete na sisi barafu iwe inaanguka km uko ulaya
Aisee inaonyesha jinsi gani uwezo wako wa kufikiria umefika mwishoTumuachebmama achape kazi, hata angekwenda New York kwa holiday tu ni haki yake.
Tupunguze chuki kwa afya zetu.
Unaongea kishabiki badala ya kujenga hoja itakayoleta Tz endelevuTumuachebmama achape kazi, hata angekwenda New York kwa holiday tu ni haki yake.
Tupunguze chuki kwa afya zetu.
Aje kwetu Makete nitampa na Ulanzi aonje kidogoNenda Mkoa wa Njombe, wilaya ya Makete Tanzania.
Kwa lipi aliloifanyia Dunia?Mama anazidi kukubalika duniani yupo tayari kuwa Rais wa ile United States of Africa
Kwani nchi ni ya watu wa hali ya chini tu?Asante tunamuomba rais atulete na sisi barafu iwe inaanguka km uko ulaya
Kushiriki huo mkutano ni kuchapa kazi? Hata asingeshiriki kungekuwa hakuna impact yoyoteTumuachebmama achape kazi, hata angekwenda New York kwa holiday tu ni haki yake.
Tupunguze chuki kwa afya zetu.
Hata hao wachache aliosafiri nao bado kuna watu wameandika uzi humu kuwa raisi amesafiri na watu wengi. Na kwamba ni uharibifu wa kodi zetu. Pinga pinga haijawahi kuwa na tija au faida yoyote kwa wapingaji, maana kila uchaguzi ukifika ni mwendo wa kuangukia pua tu.Mbona wale bakabaka siwaoni huko amereka amewaacha wapi?..au ndio kutishana tanzania kweli madaraka matamu.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mwaka wa tatu sasa Lisu amekuwa akiwahadaa mazombi wake kuwa atahutubia baraza la usalama na vikao vikubwa kama hivi. Cha kushangaza raisi Samia amefanikiwa kwa muda mchache tu alioingia.Kushiriki huo mkutano ni kuchapa kazi? Hata asingeshiriki kungekuwa hakuna impact yoyote