Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #21
Ni kweli nimehamasika lakini sio live yoyote ya tukio hili kwenye mainstream TV za hapa Marekani hivyo na mimi naitegemea TBC maana hapa wapo na live gear zao, hili ni tukio muhimu sana kwa taifa Letu. Kama huwa tunaletewa live za matukio less important, why not this very important?.Walengwa wa hiyo filamu ni wazungu, sio sisi members wa jf ambao wengi ni watanzania. Labda kama lengo ni kuturungishia. Hivyo sitegemei sisi watanzania wengi kuvutika na hiyo filamu maana sio walengwa wa filamu hiyo. Naona umehamasika na hilo tukio mpaka unadhani na wengi wetu tumehamasika hivyo hivyo. Ila si vibaya maana ww umehamasika utuletee hizo clips kadhaa tuone huo uhondo unaokupagawisha.
P