Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #21
Ni kweli nimehamasika lakini sio live yoyote ya tukio hili kwenye mainstream TV za hapa Marekani hivyo na mimi naitegemea TBC maana hapa wapo na live gear zao, hili ni tukio muhimu sana kwa taifa Letu. Kama huwa tunaletewa live za matukio less important, why not this very important?.Walengwa wa hiyo filamu ni wazungu, sio sisi members wa jf ambao wengi ni watanzania. Labda kama lengo ni kuturungishia. Hivyo sitegemei sisi watanzania wengi kuvutika na hiyo filamu maana sio walengwa wa filamu hiyo. Naona umehamasika na hilo tukio mpaka unadhani na wengi wetu tumehamasika hivyo hivyo. Ila si vibaya maana ww umehamasika utuletee hizo clips kadhaa tuone huo uhondo unaokupagawisha.
Mbona pambano la Tyson na Ivanda enzi hizo ni mida hii na Wabongo kibao tulisubiri , Leo tukio la Rais and there is no one!Halafu watazame kupitia TBC! Paskali bana, yaani wala hajui TV ipi inavutia watu kuangalia. Isitoshe kwa muda huu sio rafiki kabisa.
Mbona pambano la Tyson na Ivanda enzi hizo ni mida hii na Wabongo kibao tulisubiri , Leo tukio la Rais and there is no one!
P
No sio kuhamasika bali hili ni tukio muhimu sana kwa taifa Letu. Kama huwa tunaletewa live za matukio less important, why not this very important?.
P
Jumbe Brown yuko huko lakini hawezi kuweka updates toka ukumbini kwa kuogopa asijulikane!Yaani unamaanisha kati ya hao waalikwa zaidi ya 400, hakuna mwana JF yoyote kutu update!.
P
Hapa ndio hoja ya uzalendo inapoibuka,Tyson na Evender ni tukio linalovutia automatic na halionyeshwi na TBC. Kuona pambano la Tyson haizidi 1,000. Je ni watanzania wangapi wanaenda kutalii, na kwa hela gani waliyo nayo?
Mtu ukijiunga jf kwa pen name, you will always be that pen name, unaweza kuwepo popote na kuposti chochote bila yeyote kukujua ni wewe kama mimi ninavyofanya.Jumbe Brown yuko huko lakini hawezi kuweka updates toka ukumbini kwa kuogopa asijulikane!
Watu wenye "kamba ndefu" mkuu, ndio wenye sauti katika serikali ya leoTupo tunasikilizia maumivu,jinsi pesa zetu zilivyoliwa na maza yupo kimya.
So tunaona hata wakiongezeka watalii zitaishia mifukoni mwao na hakuna hatua zinazochukuliwa zaidi ya CAG kuja kutusomea tena ngonjera
EeeenHeee Heee!..Balozi Mama Mulamula amekuwaje?
..Ni waziri gani mwingine wa mambo ya nje anavaa nguo zina picha ya Raisi wake?
cc Kilatha
Kwani Mange hayupo huko atupe 'updates'!Update.
Event hii ya uzinduzi wa filamu ya Royal Tour haiko live.
Kama kuna member wetu yoyote uko ukumbini, please share, na mimi will share the few clips that I have
P
Badili bichwa lako la habari ni starring, siyo "Wanabodi,
Niko Standby kuwaletea link ya uzinduzi huu.
Paskali
DSM
Tanzania
Usirushe picha au sehemu ya picha husika bila ya idhini ya mtengenezaji, ni kosa la jinai.Update.
Event hii ya uzinduzi wa filamu ya Royal Tour haiko live.
Kama kuna member wetu yoyote uko ukumbini, please share, na mimi will share the few clips that I have
P
EeeenHeee Heee!
Jiwe angependa sana hiyo.
Namwona Prof. wa Jalalani, angekumbuka mtindo huu mapema asingesita kuutumia.
Hawa watu maisha yao ni ya kumtegemea huyo mteuzi, kwa hiyo kila wanachoweza kufanya kumfurahisha watakifanya.
KATIBA! KATIBA bomu iliyopo ndiyo inawapa nyodo, kiburi na dharau! Wao ni wao na wewe ni mnyonge tu!Tupo tunasikilizia maumivu,jinsi pesa zetu zilivyoliwa na maza yupo kimya.
So tunaona hata wakiongezeka watalii zitaishia mifukoni mwao na hakuna hatua zinazochukuliwa zaidi ya CAG kuja kutusomea tena ngonjera
Watu tumeamka kufuatilia lakini hakuna kinachoonekana. Kuna ujumbe mkubwa sana kwenye usiri mkubwa uliofanyika!Mbona pambano la Tyson na Ivanda enzi hizo ni mida hii na Wabongo kibao tulisubiri , Leo tukio la Rais and there is no one!
P
Yupo busy kutukanana na vitoto anavyoweza kuvizaa ili apate kula yake kupitia app yake ya udhalilishaji.Kwani Mange hayupo huko atupe 'updates'!
USA siyo bongo, hawana sifa za kujulikana na kufahamiana.Kwani Mange hayupo huko atupe 'updates'!