Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
... and there is no one! Hii nchi ni yao wanatosha wao na chama chao. Siku itakapozinduliwa hapa nguo za kijani zitatawala nchi na majigambo kila kona, beberu atakuwa nabii.Mbona pambano la Tyson na Ivanda enzi hizo ni mida hii na Wabongo kibao tulisubiri , Leo tukio la Rais and there is no one!
P
Fursa EtiCCM tayari wamekwisha liteka tukio na kulifanya la kichama na kutoa taarifa na tamko.
Hapo Wanavizia Kumpokea Kwa Mchongo😀😀😀😀 huku hapiti....chongeni MABANGO.... JKA
MABEBERU hoyeeeee
Kuna sehemu kuna liboss jinga kweli kweli linajifanya liaminifu linadhibiti halina hata gari linapanda daladala huku linakula kwa mama lishe hovyo Sana linajifanya liaminifu wenzake juu wanaenda kuzila tu bila hata huruma.Watu wenye "kamba ndefu" mkuu, ndio wenye sauti katika serikali ya leo
Tunauzwa 'right, left and center' tukiona wenyewe, na hatuna la kusema.
Mkuu Paskal,usidanganyike na uzalendo katika taifa hili.Trust me hata URUSI akituvamia na kutupiga TZ, bado wa TZ tutamshangilia PUTIN na kufurahia wanajeshi wa SAMIA wanavyopelekewa moto (ambao ni ndugu zetu)Hapa ndio hoja ya uzalendo inapoibuka,
yaani mtu uko tayari kukesha kumuangalia Tyson lakini Rais wako...!
P
Sisi member wa JF tunajulishwa matumizi ya kodi yetu katika mchakato mzima wa kuipata filamu ya Royal TourWalengwa wa hiyo filamu ni wazungu, sio sisi members wa jf ambao wengi ni watanzania. Labda kama lengo ni kuturungishia. Hivyo sitegemei sisi watanzania wengi kuvutika na hiyo filamu maana sio walengwa wa filamu hiyo. Naona umehamasika na hilo tukio mpaka unadhani na wengi wetu tumehamasika hivyo hivyo. Ila si vibaya maana ww umehamasika utuletee hizo clips kadhaa tuone huo uhondo unaokupagawisha.
Yatafika tu mwisho.Sisi member wa JF tunajulishwa matumizi ya kodi yetu katika mchakato mzima wa kuipata filamu ya Royal Tour
Mkuu tuulizie kwenye ile channel yetu pendwa ya Tbc safari channel inaoneshwa lini?Sio Watanzania wangapi wangetazama live saa hizi, bali wana jf wangapi wako eneo la tukio na wange share kinacho endelea kwenye huo uzinduzi.
P
TBC itaonyeshwa karibia na uchaguzi 2025.Mkuu tuulizie kwenye ile channel yetu pendwa ya Tbc safari channel inaoneshwa lini?
Hapa ndio hoja ya uzalendo inapoibuka,
yaani mtu uko tayari kukesha kumuangalia Tyson lakini Rais wako...!
P
Sidhani hata unaelewa ulichoandika .Mkuu Paskal,usidanganyike na uzalendo katika taifa hili.Trust me hata URUSI akituvamia na kutupiga TZ, bado wa TZ tutamshangilia PUTIN na kufurahia wanajeshi wa SAMIA wanavyopelekewa moto (ambao ni ndugu zetu)
Nahisi wewe ndio umenijibu pasipo kuelewa lengo la posti yanguSidhani hata unaelewa ulichoandika .
Huko Ukraine wanakufa wanajeshi tu?
Maisha yanaenda kwa kasi sana kaka, although wanalamba asali hawana muda wa kuwapa wenzao updates!Sijui hii if ya siku hizi imekuwaje?!. Ingekuwa ni ile JF ya enzi zile, saa hizi ungekuta tuna updates zaidi ya members 10!.
Yaani unamaanisha kati ya hao waalikwa zaidi ya 400, hakuna mwana JF yoyote kutu update!.
P