Net Vision
New Member
- Dec 15, 2017
- 3
- 7
Acha unazi pep haikuwa timu yake aliyoiandaa ndio maana karuhusu wachezaji wanane waondoke.Kocha yupi anaweza drop wachezaji wanane kwa pamoja akafanya kama anachofanya Pep kwenye hio ligi yenu ngumu?.Nolito na bravo kawaleta yeye utawaitaje mizigo? Hao uliowataja hapo wachezaj wa tatu wanabak anashindwaje kumaliza wa pili au wa kwanza kama anajua au kubeba hata kakombe kamoja?
Timu ya mourinho aliyobeba vikombe viwili na hiyo ya city ipi ilikuwa nzur?
Tunapishana unaponiambia ligi nyepes majeruhi kila timu inao kushuka na kupanda kwa viwango vya wachezaji vipo timu zoteA ha ha ha kweli ushabiki umekujaa wachezaji watano wote magarasa?.
Wachezaji ambao hawakudeliva alikuwa ni bravo na nolito.Gudogan alipata injury ya msimu mzima,sane alicheza vizuri,gabriery alikuja January akacheza mechi tatu akaumia akarud game ya mwisho.
Sterling alikuwa kwenye kiwango kibovu ndio maana alitaka kuuzwa tena kwa kutoa fedha na sterling wampe Sanchez.
Yaya uzee tayari alikuwa nao na alikaa njee zaid ya mechi 15 kwasababu walipishana na pep baada yawakala wake kuzinguana na Pep.
Sasa mbona msimu huu kaachia wachezaji 8 waondoke,akasajili watanne/watano tu lakini anawatembezea vichapo.
We vipi kwa hiyo conte na mourinho waliziandaa had wakachukua vikombe?Acha unazi pep haikuwa timu yake aliyoiandaa ndio maana karuhusu wachezaji wanane waondoke.Kocha yupi anaweza drop wachezaji wanane kwa pamoja akafanya kama anachofanya Pep kwenye hio ligi yenu ngumu?.
Kosa ni la nani?Je kama nolito hakuwa mzigo yupo sasa hivi hapo city?
A ha ha ha nimekwambia huwezi kuibadili timu kwa pamoja wachezaji wote.Wengi walikuwa wazee ambao hawafiti mfumo wa Pep.Tunapishana unaponiambia ligi nyepes majeruhi kila timu inao kushuka na kupanda kwa viwango vya wachezaji vipo timu zote
Nakuuuliza msimu ulioisha kwa nn alibamizwa? Ukisema uzee bado sio point hamna mchezaj wa city alikuwa na miaka 36 ligi ya uingereza ni ngumu alianza kwa mbwembwe za gar sijui left hand kauli zlilikata hizo had akakimbilia sokon
Mwaka huu kafanya usajili gani kwenye first eleven ukimtoa kipa EdersonMwakajana hakufanya kitu,maana hakuweza kufanya usajili na kutengeneza timu anayoitaka.Ndio maana msimu huu wa 2017/2018 amewaambia zaid ya wachezaji 7 waondoke ili atengeneze timu yake.
Kwa nini Pep atengeneze likodi kubwa katika ligi ngumu ambayo hakuwahi kuitengeneza katika ligi nyepesi huku akiwa na timu nzuri kama barca?,au Buyern?.
Ligi kipindi hiko ilikuwa na timu ngapi?.Na alishinda mechi ngapi mfululizo?.Mpumbavu wewe Mara ya mwisho arsenal kuchukua ubingwa , Hakupoteza mechi hata Moja chini ya kocha arsene Wenger
Hiyo hutokea hata yeye mwaka jana kafanyiwa sana tu had na wakina everton ila sijui mlikuwa wapLakn sahvi anawagonga kina morinho mbele na nyuma
Teh wewe hufatilii mpira..Walker.Mwaka huu kafanya usajili gani kwenye first eleven ukimtoa kipa Ederson
Ligi yenu mbovu hamna kitu sema nimaarufu tu.Hiyo hutokea hata yeye mwaka jana kafanyiwa sana tu had na wakina everton ila sijui mlikuwa wap
Kweli hapa napoteza muda na wewe unamwambia mwenzio akijib akutag shulen mnaendaga kusomea ujinga et!!!!!Akikujibu ni tag
Muongezee na K.WalkerBernardo Silva na mendy umewasajili wewe?
Tunazungumzia kuvunja rekodi kwani Conte alivunja rekodi gan sababu ukiangalia hata Gurdiola kaanza kuzungumziwa baada ya kuvunja rekodi ya arsenal, au mwenzetu unamaanisha nn??Unaelewa point ya msingi au unajibu kwa mihemko?
Wapo first 11?Bernardo Silva na mendy umewasajili wewe?
Ubovu angeonesha msimu uliosha had alikuwa anaitafuta nasaf ya nne kwa toch dadek hata kikombe cha maj hamnaLigi yenu mbovu hamna kitu sema nimaarufu tu.