Newcastle United 0-1 Manchester City: Pep hashikiki, afikisha mechi 20 bila kupoteza

Newcastle United 0-1 Manchester City: Pep hashikiki, afikisha mechi 20 bila kupoteza

Pep kaleta copy tu ya mpira wa Barcelona EPL wote wamekuwa vibonde,je Catalunya wakijitenga na Barcelona wakaja EPL itakuwaje...,EPL timu zake zinauwezo sawa(yaani uwezo mdogo) ndio maana mnaona kunaushindani tofauti na ligi zingine ambazo zinatimu zenye uwezo mkubwa na mdogo.
 
Nolito na bravo kawaleta yeye utawaitaje mizigo? Hao uliowataja hapo wachezaj wa tatu wanabak anashindwaje kumaliza wa pili au wa kwanza kama anajua au kubeba hata kakombe kamoja?

Timu ya mourinho aliyobeba vikombe viwili na hiyo ya city ipi ilikuwa nzur?
Acha unazi pep haikuwa timu yake aliyoiandaa ndio maana karuhusu wachezaji wanane waondoke.Kocha yupi anaweza drop wachezaji wanane kwa pamoja akafanya kama anachofanya Pep kwenye hio ligi yenu ngumu?.
 
A ha ha ha kweli ushabiki umekujaa wachezaji watano wote magarasa?.

Wachezaji ambao hawakudeliva alikuwa ni bravo na nolito.Gudogan alipata injury ya msimu mzima,sane alicheza vizuri,gabriery alikuja January akacheza mechi tatu akaumia akarud game ya mwisho.

Sterling alikuwa kwenye kiwango kibovu ndio maana alitaka kuuzwa tena kwa kutoa fedha na sterling wampe Sanchez.

Yaya uzee tayari alikuwa nao na alikaa njee zaid ya mechi 15 kwasababu walipishana na pep baada yawakala wake kuzinguana na Pep.

Sasa mbona msimu huu kaachia wachezaji 8 waondoke,akasajili watanne/watano tu lakini anawatembezea vichapo.
Tunapishana unaponiambia ligi nyepes majeruhi kila timu inao kushuka na kupanda kwa viwango vya wachezaji vipo timu zote

Nakuuuliza msimu ulioisha kwa nn alibamizwa? Ukisema uzee bado sio point hamna mchezaj wa city alikuwa na miaka 36 ligi ya uingereza ni ngumu alianza kwa mbwembwe za gar sijui left hand kauli zlilikata hizo had akakimbilia sokon
 
Acha unazi pep haikuwa timu yake aliyoiandaa ndio maana karuhusu wachezaji wanane waondoke.Kocha yupi anaweza drop wachezaji wanane kwa pamoja akafanya kama anachofanya Pep kwenye hio ligi yenu ngumu?.
We vipi kwa hiyo conte na mourinho waliziandaa had wakachukua vikombe?
 
Mpumbavu wewe Mara ya mwisho arsenal kuchukua ubingwa , Hakupoteza mechi hata Moja chini ya kocha arsene Wenger
 
Tunapishana unaponiambia ligi nyepes majeruhi kila timu inao kushuka na kupanda kwa viwango vya wachezaji vipo timu zote

Nakuuuliza msimu ulioisha kwa nn alibamizwa? Ukisema uzee bado sio point hamna mchezaj wa city alikuwa na miaka 36 ligi ya uingereza ni ngumu alianza kwa mbwembwe za gar sijui left hand kauli zlilikata hizo had akakimbilia sokon
A ha ha ha nimekwambia huwezi kuibadili timu kwa pamoja wachezaji wote.Wengi walikuwa wazee ambao hawafiti mfumo wa Pep.
Zabaleta,Yaya,crich,sagna,navas,Fernando,cabalero,koralovu,nasri,nolito,mtoe nolito maana alimleta yeye je hao ni vijana?.
 
Mwakajana hakufanya kitu,maana hakuweza kufanya usajili na kutengeneza timu anayoitaka.Ndio maana msimu huu wa 2017/2018 amewaambia zaid ya wachezaji 7 waondoke ili atengeneze timu yake.

Kwa nini Pep atengeneze likodi kubwa katika ligi ngumu ambayo hakuwahi kuitengeneza katika ligi nyepesi huku akiwa na timu nzuri kama barca?,au Buyern?.
Mwaka huu kafanya usajili gani kwenye first eleven ukimtoa kipa Ederson
 
Akikujibu ni tag
Kweli hapa napoteza muda na wewe unamwambia mwenzio akijib akutag shulen mnaendaga kusomea ujinga et!!!!!

Soma post ya huko juu nlipokuwa nasema epl bila usajili wa maama mlikuwa mnabisha nn? Au mlikuwa mnanijibu mkiwa mmelewa?
 
Unaelewa point ya msingi au unajibu kwa mihemko?
Tunazungumzia kuvunja rekodi kwani Conte alivunja rekodi gan sababu ukiangalia hata Gurdiola kaanza kuzungumziwa baada ya kuvunja rekodi ya arsenal, au mwenzetu unamaanisha nn??
 
Hahaha ila inashangaza kwamba eti watu wana ushabiki na man city ...ila kukengeuka kubaya leo uko arsenal ikifanya vizuri, ikiboronga unahamia man city inayofanya vizuri,
 
Back
Top Bottom