Newcastle United Football Club special thread

Maeeeee tumeipiga hii mbwaaaaa

Shenzi kabisa
 
Njoo uokote mzoga wako huku[emoji1787][emoji1787]

The team spirit [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] najaribu kufikiria umetoka kucheza midweek na man utd unamkanda vizuriii tu pale pale OT unacheza na arsenal unamkanda pia then jumanne tunaingia tena kwa Dortmund.
 

HERE WE GO[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Hii game tupige jihad ili tuende international break tukiwa fit sana maana kama uwezo wa kuumua Dortmund kule kule kwake upo kwa asilimia nyingi tu .
Mbwa yenyewe haina consistency leo imekulw nne
 

Not a good day at all, bora international break imekuja maana kwa injuries tulizonazo ni ngumu kutoboa hope after hizi week 2 tutarudiii bora kabisa.

Leo sub wapo 4 academic players na still tumecheza bila hata ya forward namba 1 na hata forward namba 2 front 3 first 11 ni mmoja tu gordon.

Matokeo tumeyakubali we will bounce back hio tarehe 25 hope isak atakuwa fiti.
 
wanakubali hadi wenyewe maamuzi ya penalty yalikua si maamuzi sahihi , refa na VAR wamechoma wajinga wale
 
Inaonekana leo lucky is not on our side hii game tunaweza kupoteza si kwa kosa kosa hizii . Utulivu hamna kabisa tukiwa golini kwa manyumbu .

Ngoja tuone second half, kinachotakiwa ni utulivu tu mechi tumeitawala lakini utulivu pale mbele hamna
 
Hili chama linakuja kwa kasi sana, na msimu huu linaweza kumaliza top 4
 


Winning picture as usual.

Kama mpira leo tumewatawala manyumbu mwanzo mwisho. Hope pope hajaumia kivile maana hizi injuries tulizonazo .
January
 
Anthony Gordon last three premier league goals

Arsenal [emoji736]
Chelsea[emoji736]
Man utd [emoji736]


Big-game player [emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…