Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 858
- 2,497
Disappointed result , Eddie howe ametuchomesha na subs zake za kindezi sana. Madogo nae chance wamechezea sana #### WE MOVE FORWARD
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani wamekosa magoli kibao......next ni brightonView attachment 2730803
Disappointed result , Eddie howe ametuchomesha na subs zake za kindezi sana. Madogo nae chance wamechezea sana #### WE MOVE FORWARD
yaani wamekosa magoli kibao......next ni brighton
ni kweli mkuu tena walikuwa man down!Wameleta ubishoo wa ajabu eddie howe naye ajitafakari kocha unatakiwa uwe ruthless halafu sub za kukariri ni ujinga, kulikua hamna ulazima wakufanya sub ya tonali na gordon.
Hope tutawapiga ila players wamechoma sana hii game ilikuwa yetu kabisa.
De zerby na Brighton yake wametoka kuchezea kichapo kwa westham,hivyo next week game dhidi yenu itakuwa ngumu sana.
Wote mnataka matokeo ila mwenye mbinu bora ataibuka mshindi.
Mzee hukua Man U kweli?Tumekutana na better teams kuliko nyingine zozote zile , still tuna nafasi ya kutoboa after inter break .
Eddie howe tuna imani naye , he is a good coach tusikate tamaa for only 3 games against tough opponents.