Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilo unazungumzia msimu uliopita, tupo katika msimu huu ambaoo Ac Milan katoka kupigwa magoli matano juzi kwenye ligi kuu. Msimu huu hawana timuKuna mtu anasema Ac milan wachovu, Ac milan last season walikuwa semi finalist , wakati timu yake ina miaka zaidi 16 haijawahi kufika semi final.
Hakuna Timu hapa
Mmekimbizwa na wachovu Milan ,hili grupu mtashika mkia
Cheki hizi pimbi zinapigana vijembe kama wanawake 🙄Kuna mtu anasema Ac milan wachovu, Ac milan last season walikuwa semi finalist , wakati timu yake ina miaka zaidi 16 haijawahi kufika semi final.
Ni maoni yakeArturo Vidal: "I saw the worst match in the history of the Champions League, Milan vs Newcastle."
"Those idiots from Milan against Newcastle left me disappointed. They are lucky because they only know how to run, otherwise they wouldn't be there.
"I don't understand Newcastle, they finish 4th in the league, but it doesn't matter... it's just disgusting."
Ligi badoSheffield ndo timu ya kwanza kushuka daraja msimu huu