Watu amtaki kuamini ya kuwa serikali aina pesa,kuna watumishi awajalipwa mishahara mpaka leo!. Pia ikumbukwe kuwa mishahara ya watumishi wapya(walimu na wengineo)upitishwa kwenye bajeti ya wazara husika na bunge! Je bunge la july 2013 lilipitisha mishahara ya walimu wapya wa kuajiliwa 2013/2014?
Kama akuna fungu walimu ktk bajeti hiliopita,na kwa hali halisi ya serikali kipesa muda huu labda utokeee mujiza,vinginevyo ajira za walimu wapya ni after july 2014,baada ya bunge la bajet la 2014/2015*tukubali tukatae huu ndo ukweli usiopingika,ni ngumu kumeza ila ndo ukweli wenyewe