News:AJIRA ZA WALIMU....

News:AJIRA ZA WALIMU....

Watakuwa wanawavutia pumzi, wanatambua umuhimu wenu wakati wa uchaguzi mkuu.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ukisikiliza ya wa2 juu ya hilo utaumiza kichwa maana kila m1 anaongea lake,dawa ni kusubilh tu hadi watakapoona umhimu0wa walimu.
 
kiukweli something is better than nothing mtaani ni noma sana yani usipokuwa mwangalifu utakuwa mwizii
 
Makuku Rey nilikwambia wewe n mwongo haya leo n jumangap!
 
Last edited by a moderator:
Akizungumza katika kongamano la kielimu mkoani Iringa tarehe 11.2.2014 naibu waziri wa elimu JENISTER MUHAGAMA amesema kwa sasa serikali haina hela kutokana na fedha nyingi kutumika katika bunge la katiba hivyo ajira za walimu zitaanza kutolewa kuanzia tarehe 1.4.2014.
 
Watu amtaki kuamini ya kuwa serikali aina pesa,kuna watumishi awajalipwa mishahara mpaka leo!. Pia ikumbukwe kuwa mishahara ya watumishi wapya(walimu na wengineo)upitishwa kwenye bajeti ya wazara husika na bunge! Je bunge la july 2013 lilipitisha mishahara ya walimu wapya wa kuajiliwa 2013/2014?
Kama akuna fungu walimu ktk bajeti hiliopita,na kwa hali halisi ya serikali kipesa muda huu labda utokeee mujiza,vinginevyo ajira za walimu wapya ni after july 2014,baada ya bunge la bajet la 2014/2015*tukubali tukatae huu ndo ukweli usiopingika,ni ngumu kumeza ila ndo ukweli wenyewe
 
Serikali haina pesa kwa sasa nimesikia kutoka chanzo cha karibu kabisa na wizara husika kua walimu ajira zao mwaka huu ni mwezi wa 7 ....kikubwa ni kua na subira tu !!!!!!!!! Nawakilisha
 
Chipukizi unaisha Tanzania au somaliland? Inaonekana hujui kit kabsa jinsi budjet inavotengwa.
 
Last edited by a moderator:
mgonjwa na wewe sociology yako utaajiriwa baada ya uchaguz mkuu.
 
Last edited by a moderator:
kweli elimu yetu haina viwango..watu baada ya kuwa wajasiriamali wanasubir post za ualimu mshahara chini ya laki 5, sasa hapo c bora ubuni hata biz inayoingiza elf 15 kwa cku uachane na utumwa wa kuajiriwa
 
Wewe dany unafkr kila kit knakuja tu,lazma uwe na mtaji Mr
 
Huwezi kuitwa mzazi. Huwezi kuzuia hata kinywa chako kutoa kauli mbovu. Kama wewe ni mwalimu, utawafundishani wadogo zetu? Unanitia shaka. Nenda shule ya malezi.

Nadhani ulipaswa kumwambia aliyetukana na si mimi.....nilichofanya mimi ni kuinukuu tu ile taarifa.
 
Back
Top Bottom