Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshangaa kuikuta hii post
Eti jaman hata kama hazpo bas watoe taarifa rasmi tunakosa muelekeo
hakuna mwenye uhakika humu ndan wote wanagues binafsi ikifika tar 20 ajira bado napotezea naanza mishe zangu nyingine.
usenge huu bora waseme hakuna ajira
Huwezi kuitwa mzazi. Huwezi kuzuia hata kinywa chako kutoa kauli mbovu. Kama wewe ni mwalimu, utawafundishani wadogo zetu? Unanitia shaka. Nenda shule ya malezi.