News Alert: Benjamin Netanyahu awaahidi waIran kuwa nchi yao itakombolewa hivi karibuni!

Tatizo ni ile aya ya bwana Mudy kwamba wayaudi wote wauwawe ndo inawaponza mpaka leo kobaz..

Wamuulize Amani na waraka wake ilikula kwake....
 
Kwa kauli hiyo, Ayatollah anapelekwa kwenye mabikra 72 na mito ya pombe muda si mrefu
Ungemuona wakati netanyahu anaongea ungeiona hofu ilivyokua imemjaa, itakua Iran anaandaa jambo
 
Duh!
Maneno mazito haya...!
But how...!?
 
Kqma hakuna source of Information hizo ni propagandq!
 
Huyu jamaa damu za watu zimeanza kumtia wehu.
Mwaka mzima ameshindwa kuiondoa Hamas kwenye mamlaka hapo gaza ndo ataweza kuiondoa serikali ya Iran?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…