NEWS ALERT; Orodha ya mabilionea wa JF yatoka

HII orodha feki mbona mume yangu haipo hapo wakati anamiliki twiga na faranga mingi
 
Kuna waliohonga ili wawekwe kwenye orodha hii japo utajiri wao au haukidhi wao kuwepo au utajiri wao hauna vyanzo halali.. Naomba TRA waje kuchunguza..
 
Usiniambie unamtaja Ben Saanane

Kuna waliohonga ili wawekwe kwenye orodha hii japo utajiri wao au haukidhi wao kuwepo au utajiri wao hauna vyanzo halali.. Naomba TRA waje kuchunguza..
 
Last edited by a moderator:
Kizee cha miaka 81 bishanga halafu kila siku anafumaniwa!! Kweli ng'ombe hazeeki maini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…