nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,860
- 5,801
- Thread starter
-
- #21
ulitaka raisi wetu ampigie magoti kagame?kapewa ushauri hataki bac.na hao wamiaji haram wanatakiwa waondoke haraka hata ilkiwa ni wewe au mkeo s mtz anzisheni mapema kabla hatujawagundua tutawatoa unaruhusiwa kuishi kwa utaratibu uliowekwa.usitake kumpa sapot mwizi ya raslimali za kongo
Tanzania ilikuwa nchi ya kukaribisha Wageni Wote; Ilikuwa haibagui au kuwa na Wasiwasi... Waliishi kwa AMANI na Sio wa RWANDA pekee Mataifa Mengi hadi South Africans wakati wa APARTHEID
Tulikuwa Nchi ya kukaribisha ndio Maana tuko wa Makabila Mbalimbali sehemu zote za nchi yetu bila kubaguana sababu hatukujua kumbagua MGENI wetu... Kwanini Sasa???
Tulikuwa na SIFA hiyo DUNIANI...