News of Rwanda yaandika kuwa Rais Jakaya Kikwete anaweza kuwa na asili ya Gitega Burundi....

News of Rwanda yaandika kuwa Rais Jakaya Kikwete anaweza kuwa na asili ya Gitega Burundi....

Status
Not open for further replies.
ulitaka raisi wetu ampigie magoti kagame?kapewa ushauri hataki bac.na hao wamiaji haram wanatakiwa waondoke haraka hata ilkiwa ni wewe au mkeo s mtz anzisheni mapema kabla hatujawagundua tutawatoa unaruhusiwa kuishi kwa utaratibu uliowekwa.usitake kumpa sapot mwizi ya raslimali za kongo

Tanzania ilikuwa nchi ya kukaribisha Wageni Wote; Ilikuwa haibagui au kuwa na Wasiwasi... Waliishi kwa AMANI na Sio wa RWANDA pekee Mataifa Mengi hadi South Africans wakati wa APARTHEID

Tulikuwa Nchi ya kukaribisha ndio Maana tuko wa Makabila Mbalimbali sehemu zote za nchi yetu bila kubaguana sababu hatukujua kumbagua MGENI wetu... Kwanini Sasa???

Tulikuwa na SIFA hiyo DUNIANI...
 
tuwe makini tu wadau na tz yetu,karwanda ni kadogo watu wachache ila wako smart sana,tusiingie mitegoni,hekima na busara ktk kukabiri propaganda zaitajika,wanarudishwa ni wahamiaji haramu na wakimbizi si kila mrwanda,mrundi,mganda nk,muingiliano wa origin afrika mashariki na kati upo,kagame,mseveni,kabila,late john garang origin yao ni moja,tuwe makini.
 
kweli mkuu hii nchi imebeba watu wengi sana me mwenyewe ni mkenya lakini nakula bata tu na kifamilia changu hakuna anayejua.


mwenyew nipo zanzibar, ila wazazi wangu wana asili ya kisomali, upande mwengine ni bara(kwa washenzi) na ngazija comoro.
nani asojua kua tanzania ni shamba la bibi, mama huruma, kaka njooo
 
mambo mengi amefanya kikwete,akaitwa dhaifu nami pia nilisadiki kuwa dhaifu ila hapendi dharau...warudi tu kwao hao ma hao ma boko haram wabaguzi na wakabila...wengine wanasoma hapa hapa na kupewa mikopo na bodi.,wanaiudhi mimi alafu sisi tunasoma bila mikopo kisa washajipenyeza huko kwa sekta muhimu..baba riz kama vip wasafishe wote na wale maprof na waliokamata secta muhimu...tunauwezo wa kufanya wenyewe hata kama wewe ni Mrudi..warudishe kwao wakauane huko...
 

Tanzania ilikuwa nchi ya kukaribisha Wageni Wote; Ilikuwa haibagui au kuwa na Wasiwasi... Waliishi kwa AMANI na Sio wa RWANDA pekee Mataifa Mengi hadi South Africans wakati wa APARTHEID

Tulikuwa Nchi ya kukaribisha ndio Maana tuko wa Makabila Mbalimbali sehemu zote za nchi yetu bila kubaguana sababu hatukujua kumbagua MGENI wetu... Kwanini Sasa???

Tulikuwa na SIFA hiyo DUNIANI...

wewe toka saga hili limeanza umeshupalia tu kuwahurumia hao wahamiaji haramu, unafikiri nchi hii haina sheria zake?? au kwa sababu walijipenyeza kinyemela basi waachiwe tu?? niambie nchi gani on earth inayoruhusu wahamiaji haramu! sijaona hata bandiko lako moja la kupinga uhamiaji haramu na au kusikitishwa na kejeli na matusi ya hao viongozi wa rwanda kwa wananchi na ikulu ya watanzania, kama limekuuma ndugu zako kurudishwa kwao na wewe pia unaweza kuungana nao ukarudi kwenu rwanda!
 
mambo mengi amefanya kikwete,akaitwa dhaifu nami pia nilisadiki kuwa dhaifu ila hapendi dharau...warudi tu kwao hao ma hao ma boko haram wabaguzi na wakabila...wengine wanasoma hapa hapa na kupewa mikopo na bodi.,wanaiudhi mimi alafu sisi tunasoma bila mikopo kisa washajipenyeza huko kwa sekta muhimu..baba riz kama vip wasafishe wote na wale maprof na waliokamata secta muhimu...tunauwezo wa kufanya wenyewe hata kama wewe ni Mrudi..warudishe kwao wakauane huko...

mkuu usihofu, wameshanyea kiganja kilichokuwa kinawalisha lazima watarudi tu kwao.

article ya mwandishi huyu ni muendelezo wa matusi ya serikali ya rwanda kwa tanzania, lengo ni kuunganisha lile tusi lao lao kwamba JK ni genocide symphathizer kwa kum-link JK na historical roots za kuchonga kutoka Burundi (yaani Mhutu) na hivyo in one way or the other anawasaidia Wahutu dhidi ya Watutsi. Unaweza kuona ni jinsi gani alivyo-spin historia ya watu wa pwani (makabila ya wazaramo, wakwere, ndengereko, etc) yote including Bagamoyo and the like ili kukamilisha lengo lake (kumu-incriminate JK with Hutu roots)! Kama gazeti la serikali linaweza kutengeneza propaganda mbaya kiasi hiki unadhani ni watu wa kuwachukulia poa hawa?? Hawana huruma na wakaa na roho za kishetani sana! Warudi kwao na mapandikizi yao yote!

cc: Ukwaju, Niwemugizi, rushasha, Bukyanagandi, mokala1989
 
Last edited by a moderator:
tuwe makini tu wadau na tz yetu,karwanda ni kadogo watu wachache ila wako smart sana,tusiingie mitegoni,hekima na busara ktk kukabiri propaganda zaitajika,wanarudishwa ni wahamiaji haramu na wakimbizi si kila mrwanda,mrundi,mganda nk,muingiliano wa origin afrika mashariki na kati upo,kagame,mseveni,kabila,late john garang origin yao ni moja,tuwe makini.

mngekuwa smart mngechinjana 1994? Acha sifa za kijinga wewe mende!
 


Sunday, August 18, 2013 | 7:51 PM

Mtandao wa News of Rwanda juzi umeandika makala yenye kichwa cha habari, ‘If President Kikwete is Tanzanian, then most Rwandans being expelled are Tanzanians too’ na kuandika kile linachodai kuwa Rais Kikwete anaweza kuwa na asili ya Burundi.

Jakaya-KikweteBC.jpg

Kwa mujibu wa wazee wa Burundi waliohojiwa na mtandao huo, umedai Rais Kikwete anaweza kuwa na asili ya Giteka, Burundi.

“They are of Rwandan origin, but speak Kirundi and solely prefer to be viewed as Burundians. By virtual of that country’s laws, they are indeed Burundians,” limeandika.

So where did President Jakaya Mrisho Kikwete come from? There are no original residents of Bagamoyo in Tanzania where Kikwete’s parents are traced. Most people from that area are remnants of slaves who were seem as unfit for the market during the slave trade era.

Bagamoyo formally (Bwagamoyo) was one of the biggest slave trade centres in East Africa and people were being traded from various areas of East Africa. For those of Bagamoyo, however, almost all came from Burundi and Zaire.


Historical discourse shows that most Tanzanians are from other neighbouring countries. The Ngoni people came from Zulu land in South Africa; Yao used to belong to Mwanamtapa Kingdom; Arabs of Unguja and Pemba Irelands in Zanzibar came from Oman during the rule of Sultan Sayid Said.

Chaga, Maasai and Meru people of Northern Tanzania are traced in Kenya; Hangaza people from Burundi; Haya people from Uganda; Waha (Ha people) arrived in from Zaire and Burundi; the Makonde people (tribe of former Tanzania President Benjamin William Mkapa) came from Mozambique; Nyasa People relocated from Malawi; almost all Mara region dwellers came from Kenya and the list can cover about 80percent of all Tanzanians.

The Singida and some Arusha people like Warangi, Wasandawe, Wabaebaig, Wairaq and Hadzabe are not Bantus, but Semi Nilotic who found themselves in that country after immigration for survival.

Tanzania’s current Constitution states that all people who were present in 1961 from 00.00 mid night during Tanganyika Independence are legally Tanzanians despite their vast origins. It is beyond comprehension therefore why Rwandans who were in Tanganyika from 1959 and before are being evicted as illegal immigrants.

Elderly women are being rounded up at gun point with nothing on them, and forced out to the Rwanda-Tanzania border. The children they had with Tanzania men are remaining, because according to President Kikwete, the children are Tanzanian and not their mother. The same thing is happening to men married to Tanzanian women.





Read more: NEWS OF RWANDA WAANDIKA KUWA RAIS JAKAYA KIKWETE ANAWEZA KUWA NA ASILI YA GITEGA BURUNDI.... - GUMZO LA JIJI
Huyu jamaa naona amekamilisha upelelezi wake wa namna ya kupigana na Tanzania ndiyo maana ya uchokozi unaoendelea hapa. Na vile vile walaka huu unanifanya niamini kuwa bado anao watu katika idara nyeti za serikali ya TZ na wanaendelea kupeleka taarifa zote Rwanda. Kama ni hivyo ni hatari kwa Tanzania. Jeshi lijiangalie sana maana inaonekana wana maadui ndani yake. na Ikulu ijitazame sana isije nayo ikawa imeingiliwa. kama wa Rwanda wamo jeshini wanaweza kuleta madhara sana. Inatakiwa huyo mkuu wa majeshi alisafishe jeshi lake haraka sana. Kabla ya kuvamiwa. Kwa sababu Kagame kwa kuwatumia watu wake waliomo ndani ya nchi anaweza kuhujumu vifaa vya jeshi vyote halafu akavamia kwa urahisi. Hapo pana hitaji werevu na uharaka wa kutenda. Na si kuwa mzito katika kuamua. Yaani unafanya hivyo bila kusita. UKIISHA KUIDHIBITISHA HATARI NA UKAMTAMBUA ADUI YAKO, MBINU KUBWA HAPO NA YA PEKEE, NI WEPESI WA KUTENDA BAADA YA KUPANGA HARAKA. PILI NI KUJIKAGUA MWENYEWE NA KUWA FAHAMU WATU WAKO. NDIPO UCHUKUE HATUA UNAZOONA ZINAFAA. KWA MTAZAMO WANGU TANZANIA IKO KWENYE HATARI KAMA HAITACHUKUA HATUA ZIFAAZO KWA HARAKA. NA HATUA ZIKISHA CHUKULIWA KUSIWE MWAMUZI MPAKA JAWABU LA KUDUMU LIPATIKANE. WALINZI WA MAGHALA YA SILAHA, MAGARI, VIFAA VYOTE VIANGALIWE VYEMA SANA. HATA MILIPUKO YA MBAGALA WAKATI ULE MIMI NINA MASHAKA KAMA ILITOKANA NA AJALI TU, SIAMINI SANA INAONEKANA KAMA HUJUMA VILE. MAMBO YOTE YANAYOFANYWA HALAFU WANANCHI WANSEMA NI POLISI BADO NINA MASHAKA MAKUBWA NA WATU WA KAGAME. LENGO LIKIWA KUICHAFUA TANZANIA ILI IINGIE KWENYE MGOGOLO WA WENYEWE KWA WENYEWE. NA UKOLOFI HUO ULIONGEZEKA WAKATI WA KUKATAA KUFANYA ARDHI PIA KURUHUSIWA NA KUPEWA WATU TOKA EAC. UKISHA KUWA NA NYOKA NDANI YA NYUMBA YAKO AMBAYE HUMUONI LAKINI UNAJUA YUPO, NI HATARI SANA.
 
Kumbe wanadai anaweza wao kama ardhi yao haiwatoshi waige mfumo wa China wa mtoto1 kwa kila kaya. Makabila ya Tanganyika yanayotambulika ni yale yaliyoyokuwepo mwaka 1885/86 baada ya Mkutano wa Berlin, kinyume na hapo hayatambuliki. Napenda tu kuwapa ushauri kwa wale mnaompinga JK, jaribuni kwenda kwenye mpaka wa magharibi mwa nchi mjionee wenyewe hali ilivyo, ndo maana hatujawahi kusikia mpaka wa Msumbiji au Malawi kuwa kuna wahamiaji haramu, kwani watu wa mipaka hiyo wanatuheshimu na kuiheshim Tanganyika.
 
Hao WARUNDI NA WANYARWANDA na ninyi Watanganyika mamluki mnaompinga JK jiulizeni mbona Malawi tuna mgogoro nao lakini mh Raisi hajawahi kusema wamalawi wanaoishi nchi hii kinyemela warudi kwao?
Hao wanalo lao jambo na kamwe ardhi yetu hawatoipata kama wameshajaa nchini mwao waige mfumo wa uchina wa kila kaya mtoto1
 
Anavyoliendesha JANGA hili Rais wetu analifanya la kilabila; Kama ni ISSUE ya KAGAME ni ISSUE yake na KAGAME kama ni ISSUE ya WAKIMBIZI basi sio wa Rwanda pekee kuna Waburundi pia; na ni kwanini aambatanishe hizo issue?

Kama yeye ni MPENDA AMANI na MAZUNGUMZO kama alivyomshauri Rais Kagame aongee na wale wasaliti ni kwanini yeye basi asimuite KAGAME Tanzania na kuyaongelea? Sasa tunahatarisha hata Watanzania wenye asili ya kinyarwanda kuikimbia nchi kama wanavyosema huyo Mwanajeshi.

Nchi yetu ilikuwa ndio MODEL ya nchi za JIRANI why now???

Tunampenda Rais wetu lakini pia akubali makosa... Wakimbizi wa Kinyarwanda kweli wametukosesha raha kiasi hicho???

Unaweza kusafiri muda wowote (24 hours) kwenye mikoa mingi ya Tanzania lakini siyo mikoa ya kanda ya ziwa especially Kagera, Geita na Kigoma....ikifika saa 12 barrier ishafungwa....ujiulizi kwa nini????? Ndo kukoseshwa raha huku ndugu yangu.....full utekaji mabasi ya abiria, magari binafsi...haya mbona hayafanyiki Tanga, Mbeya, Morogoro, Dodoma nk yanafanyika Kanda ya ziwa?????
 
Jk anaweza kuwa na mchanganyiko wa bushmen, hadzabe na makabila ya pwani.

aisee hii inaweza kuwa kweli kabisa. Ukimuangalia kwa makini JK anafanana sana na yule bushman wa kwenye movie za Gods Must be Crazy
 
Hivi Rwanda ukubwa wake unaizidi wilaya ya Kinondoni kweli?
 
Hawa waandishi wanatukumbushia History ya Form 2 enzi hizooooo...Ni kweli kuwa interactions zilipelekea kuwa jamii, na badaye Taifa. Hii haowezi kutufanya tuache kufanya maamuzi kama Taifa. Baada ya uhuru tuliendelea na mipaka ile ile ila watu, ardhi, mipaka na nembo za kitaifa zinatutambua kama Taifa lenye sheria, sera na itikadi zake....Hawa waandishi ni wauza habari tuuu....na hili halitusumbui...mausiano ya kidugu yataendelea kwa wote wenye mapenzi mema.... Power Tanzania
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom